Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Kazi ipo sasa hapo JK sijui atatumia FFU wa marekani kuwatuliza waandamanaji au atafanya nini. Ngoja tusubiri tuone.

shame on u,yaani watu wanajadili masuala ya msingi yanayowakumbuka wananchi halafu wewe unaleta masuala ya dini,mambo yanayojadiliwa hapa na wnaJF hayana dini wala chama kwani wanaoumia ni wananchi wote bila kujali itikadi za kidini wala kichama
jamani mawazo km haya yasipate nafasi kwenye jamii hii iliyoelimika

Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Hapana. Ufisadi uliibuliwa na Dr. Slaa. Umesahau ile list of shame? Kikwete alikuwa mwendo mdundo. Hana habari.

chatu dume,
Maandamano yatasaidia kuwatahadharisha Wamarekani kuwa Watanzania wameamka. Wakiendelea kukumbatia tawala dhalimu kama walivyofanya na Mobutu watapoteza maslahi yao. Wanataka amani na utulivu viendelee ili waweze kutunyonya zaidi, sasa wakiona kuwa maslahi yao yanabadilika basi nao watabadilika. After all, Marekani hawana permanent friends. Only permanent interests.

Mkikiwasha tu, nasi tunaingia mtaani. Maana huku nchi iko kwenye automatic pilot jike anajua kufuturu tu.
Hata muuza mafuta mmoja anamkoromea nae ananyamaza? Kweli tunaongozwa na punguani.
Si lazima amalize miaka yake huyu, atatufukarisha kupindukia.

Kazi ipo sasa hapo JK sijui atatumia FFU wa marekani kuwatuliza waandamanaji au atafanya nini. Ngoja tusubiri tuone.
atatumia ffu aliotumia kuuwa watu arusha, Nyamongo-Mara na Tabora..

mngekuwa mnaandamana kushinikiza pia ajiuzulu ingekuwa poa zaidi

Kweli hii ndio inatakiwa na mumutie aibu asiombe pesa huko maana ni omba omba na pesa anakula na wenzake

kazi kweli kweli ndugu zangu naapa kama ikitiki lazima jamaa ang'oke..

All the best brothers and sisters,i wish ningekuwa huko

Faidha nafikiri wewe unaishi peponi, hayo mashule walimu wako wapi? hicho kilimo njaa inatoka wapi?

For the first time now I can see Diasporas making sense towards ukombozi wa kweli wa Nchi yetu

Mungu wamilima na mabonde yu pamoja nanyi nasi 2naesabu sec

You must be from Mars!

Cha kustaajabisha ni kuwa, iweje leo wabaya wawe wazuri? u ndio yale ya kesi ya nyani kuipeleka kwa ngedere?

Baniani mbaya kiatu chake dawa?

nyie si watanzania ni wamarekani andamaneni kwa matatizo yenu matatizo yetu tutayamaliza wenyewe, nia yenu ni kuja kupora mali zetu mmekwaa kisiki Libya sasa mnataka kuja Tanzania nasema komeni tena komeni kuja kutuharibia nchi yetu.

Cha kustaajabisha ni kuwa, iweje leo wabaya wawe wazuri? u ndio yale ya kesi ya nyani kuipeleka kwa ngedere?

Baniani mbaya kiatu chake dawa?

wacha kupost upepo huku,nimekukaribisha futari ya nguruwe wameandaa walebanoni bado huweeleweki!

Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashngaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, etc...)
2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Kwa hiyo kaeni mkao wa Kula, mwisho wa mwezi huu, tunawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu ambayo tutawapa kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini na hatimaye kumalizika kwnye hoteli atakayofikia FISADI Kikwete. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Wanaotaka kushiriki tumeni barua pepe, kwenda
eliakimmallya@yahoo.com. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba nimechoka na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…