Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
View attachment 35083Mwalikeni na huyu Dogo
Haya mawazo ya makengeza yana nafasi kwenye misikiti ya siasa kali na kwenye vijiwe vya kahawa, hapa JF sio mahali pake na wala sio hadhi yake.Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.
Kwani wewe hujui kwamba MMES ni mpango ulioratibiwa na serikali ya Mkapa tangu mwaka 2004? Hujui kwamba bajeti ya ujenzi wa hizo shule ilikuwa tayari ipo na kwamba Kikwete alikuwa anatekeleza kazi aliyoianzisha Mkapa? Na hujui kama Kikwete alimissuse hela kiasi cha kuanza kuwachangisha wananchi, wakati mwenzake Mkapa alitekeleza MMEM bila kuwachangisha wananchi.Yaani wewe unanshangaza kweli kweli, yaani mpaka leo huna habari kuwa shule za sekondari zilizojengwa wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko zote zolizojengwa na awamu zote ongezea na mkoloni? Hivi hujui kwa sasa tunavyuo vya waalim kuliko awamu zote?
Hivi, bila kuwa na shule waalim wangefundisha wapi? unaanza na shule halafu ndio unazalisha waalim, simpo lojik.
Kuhusu kilimo, yaani hujui kuwa Tanzania sasa hivi ina mazao mengi ikuliko Afrika mashariki yote? ama kweli bado uko mbali na dunia.
Haya mawazo ya makengeza yana nafasi kwenye misikiti ya siasa kali na kwenye vijiwe vya kahawa, hapa JF sio mahali pake na wala sio hadhi yake.
mimi ni BUDDAH.Hapa JF ni sehemu ya Christians Fundamentalists. Akili zenu ni kupinga kila kiongozi Muislamu. Mbona hamuandamani kuhusu Mkapa ua Nyerere, hawa ndiyo viongozi walioifilisi TZ.

Faidha nafikiri wewe unaishi peponi, hayo mashule walimu wako wapi? hicho kilimo njaa inatoka wapi?

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:

Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.

Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja

Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

UPDATE

Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashngaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, etc...)

2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)

3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Kwa hiyo kaeni mkao wa Kula, mwisho wa mwezi huu, tunawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu ambayo tutawapa kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini na hatimaye kumalizika kwnye hoteli atakayofikia FISADI Kikwete. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Wanaotaka kushiriki tumeni barua pepe, kwenda

eliakimmallya@yahoo.com. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba nimechoka na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo

Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.

Faidha nafikiri wewe unaishi peponi, hayo mashule walimu wako wapi? hicho kilimo njaa inatoka wapi?
Ebu ondoeni Udini hapa. Mbona Mkapa alipokuwa anaibia Serikali hamkuandamana huko USA? Hii ni chuki ya dhahri kwa sababu Rais ni Muislamu.
Mkuu, kwa hiyo watu bora ni Wakiristu! Aipendezi kaka tujaribu kuvumiliana kila mmoja sidhani kama kuna mtu atapenda dini yake itukanwe! Sote tunapambana kwenye njia moja dini zisitufanye tuchukianeI (DARE TO SAY: MUSLIMS HATA KAMA UMESOMA KIASI GANI KUNA LEVEL FLANI YA UJINGA UNABAKI NAYO NA PIA UPOFU WA KUWEZA KUTENGANISHA ISSUES)....HAPA SUALA LA UDINI LINAKUJA VIPI HAPA, KAMA SI UHAYAWANI HUU. HUU NI WENDAWAZIMU KABISA, SIWEZI KUMTETEZA LOWASA ETI KISA HE IS CHRISTIAN LIKE THE FAITH I BELIEVE, I CAN NOT STAND BESIDE ROSTAM AZIZ BECAUSE HE IS FREEMASON LIKE I BELIEVE......LET US THINK CRITICALLY JAMANI, ACHENI HOJA MFU NA ZA KITOTO. U WAPI USOMI WENU, MNAJIPAMBANUA KWA LIPI? DAH...HII NI FULL CRAP:
I am Sorry to say hivyo. But i still believe there are good and well educated Muslims wanaoweza ku-analyse mambo vizuri kabisa na wanaweza kutenganisha dini na utendaji wa watu.
Kuna thread nyingine humu JF mbumbumbu huyo huyo mmoja eti analalamika mbona Chadema haifutulishi waislamu? sasa sijajuwa kama CHADEMA ni cha siasa au ni chama cha kufutulisha watu?Yaani hapa ndio mwisho wako wa kufikiri??
Unaongea vitu gani wewe? huyu hizo safari zake umeona rais yupi wa design hii achilia Ulaya, hata hapa Africa tu hakuna......huyu kwa taarifa yako, anatuma maombi ya mialiko yeye mwenyewe na wapambe wake. Crap Crap Crap mpaka mwisho.
Kuna thread nyingine humu JF mbumbumbu huyo huyo mmoja eti analalamika mbona Chadema haifutulishi waislamu? sasa sijajuwa kama CHADEMA ni cha siasa au ni chama cha kufutulisha watu?
Huu ujinga mwingine kama ni tuzo basi ni tuzo ya platinum 5.
Mkuu utakuwa umenivunjia heshima kidogo kwenye post yangu !!!![/QUOTE
Hhahahaha.......kimradhi ndugu yangu...hii ilikuwa taarifa kwa mheshimiwa mods....lol