Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Faizafoxy hana faida hapa duniani afadhali hata dawa ya penzi inatulinda na maradhi huyu ni wa kutupwa kama iliyotumika.
 
mwandikieni mabango mengi k.m yeye na ni gamba anatakiwa kujivua, mafisadi ni rafiki zake ndo maana hawezi kuwashughulikia

What is needed is a good strategy. SHORT AND CLEAR MESSAGE WITH FACTS SO THAT MEDIA AND REGULAR CITIZEN KNOW EXACTLY WHY TANZANIANS ARE SO FRUSTRATED WITH THIS JUHA.

Here are few examples:

1. RICHMOND GATE: XXX BILLIONS LOST ON CORRUPTION
2. MEREMETA GATE: XXX BILLIONS ON LAUNDERING
3. BARICK GOLD MINES: XXX PEOPLE LOST THEIR LIVES
4. ARUSHA WALK 4 PEACE: XX PEOPLE LOST THEIR LIVES
5. PRESIDENT TRAVELING ABROAD: XXX TIMES A YEAR WASTING TAX PAYER'S MONEY
6.
7.
8.
9.

Message likes those will hit to the point. You can more.
 
Nani wakuandamana Washington DC, wadanganye Pro-CDM wenzako hivi unadhani utufahamu mnavyoishi huku Marekani!
Kuhusu Marekani, UK, unidanganyi kitu, 85% ya Watanzania wanaokaa Marekani ni Overstay halafu ni unlegal hawana makaratasi, wengine wamefiwa na baba zao mama za Tanzania wameshindwa kuja kuzika kama wakija hawawezi kurudi tena Marekani serikali ya Marekani haiwatambui wanaishi kama kwale tu huku Marekani halafu leo unatauambia eti wajitokeze kwenye maandamano thubutu!
Halafu tuambie Washington DC ni kubwa hayo maandamano yanaanzia wapi?

Fool will always be fooled!! aliyekuambia waliokuwa huko wote wameoza nani?? labda walikuwapo ktk era yako lakini siku hizi kila mtu huku ana mambo! you wait and see with your ancient beliefs! typical Magamba in the daylight dreams! WARNING!! ACHTUNG!! DO NOT UNDER ESTIMATE THE PEOPLES' POWER, YOU DO NOT HAVE A CLUE!! keep dreaming like you lot were before!
 
Nashauri siku yenyewe iwekwe thread live hapa tupate updates. Af hiyo email ya a href="mailto:wiegertjr@state.gov"wiegertjr@state.gov tunatuma maoni kwa kiswahili au kizungu?
Kijana Kizungu ndio Lugha gani?
 
Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi
Kauli ya makaratasi ni discriminative IMO

Iondoe haraka... usianze kuleta grades kama hali ilivyo hapa Dar

Nitakuwepo siku hiyo na kwakweli hili limenikwaza sana
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<b
Je na wale wanaokusanyika kumsikiliza JK anapotembelea Marekani ni watanzania aina gani?
Ni 15% ndio wana makaratasi 85% wote wameoza!
 
Lazima tukubali Tz haijawahi kupata kiongozi mwadilifu, mchapa kazi, anae hekimu haki za binaadam kama JMK lakini timu yake inamrudisha nyuma kwa kufata order za kanisa ya nchi isitawalike. huwezi kumfananiza JMK/JLKN, JMK/MWINYI, JMK/MKAPA Vingozi wote waliopita ukimkomkosoa umekufa au umekimbia nchi, wacheni udini tujenge nchi. kama JK anawaonea vibaya mafisadi cc wananchi tumsaidie kuwafichua sio kumkwamisha kwani hii mifisadi imeshaota mizizi wameanza kufugwa na julius kwa kushirikiana na kanisa,
 
<br />
<br />
what i can z that your normal?
 
Hivi mbinu hii ya kwamba mkizidiwa hoja mlete maswala ya udini aliwafundisha nani? this is very poor political strategy ambayo haitokaa ifanikiwe ndani ya Tanganyika. maana hata Yusuf Makamba mke wake ni mkristo, Samuel Sitta na Mwakyembe ni wakristo na ndio waliongoza harakati za kumng'oa Lowasa kwenye uwaziri mkuu.
Watu wenye mawazo finyu kama yako wana nafasi kwenye madrasa na kwenye vijiwe vya kahawa tu, hapa sio level yako umeingia choo cha kike.
 
Lazima tukubali Tz haijawahi kupata kiongozi mwadilifu, mchapa kazi, anae hekimu haki za binaadam kama JMK lakini timu yake inamrudisha nyuma kwa kufata order za kanisa ya nchi isitawalike. huwezi kumfananiza JMK/JLKN, JMK/MWINYI, JMK/MKAPA Vingozi wote waliopita ukimkomkosoa umekufa au umekimbia nchi, wacheni udini tujenge nchi. kama JK anawaonea vibaya mafisadi cc wananchi tumsaidie kuwafichua sio kumkwamisha kwani hii mifisadi imeshaota mizizi wameanza kufugwa na julius kwa kushirikiana na kanisa,
Hivi haya yameandikwa na binadamu au robort? Nina wasiwasi kama kuna binadamu wa kawaida anaweza kuandika haya. Habari za kanisa, mara eti timu yake, huu ni wehu kabisa. Mbona katika timu yake kuna zaidi ya asilimia 40 ya waislamu, ina maana na wenyewe wanasikiliza maagizo ya kanisa? Kauli za namna hii zinaweza kutamkwa na walevi pekee na si mtu mwenye akili timamu.
Nyie wa washington, tupeni basi tar ya maandamano na mahali tunapokutania!!
 
Can you provide a reliable source of this statistics? just to support ur post.
Full Crackpot, subiri hayo maandamano uchwara! ndio utapata hizo statistics unazozitaka
 
Tunaweza tupo kwenye mpango uho watanzania jasiri watapambana mpaka haki ipatikane amen
 
maandamano hayo pia ni lazima tuliopo dsm tuyaunge mkono kwa vitendo. Tuingie barabarani kuonyesha ghadhab zetu
sasa tunafanyaje,hebu tupe muongozo bana nazjaz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom