Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
hili ni jukwaa la siasa hata mtu akikosea spelling sisi tunachojali ni kuelewa content ya habari yake. washamba kama nyinyi hata mjini
Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!

Isitoshe, U.S. State Department hawawezi kupokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Kebehi nyingi kumbe waongo, vilaza wakubwa.
 
Imagine.! Mtu yuko kwa Obama though hafeel direct pinch tuliyonayo anapanga kuandamana sembuse wewe..ushauri wangu :wakifanikiwa kuandamana akirudi tunaye, tumpokee kwa maandamano makuubwa ajifunze kuchukta maamuzi magumu juu ya kero za wa-tz.!
 
Hivi sio nyie mliopanga kuandamana kupinga matokeo ya Urais...?

Naomba feedback hayo maandamo yalikwendaje, au kama hayakufanyika
 
Mkuu, kwahiyo wewe unauraia wa nchi mbili ikiwemo US.

We nikome mi si Mtanzania wala mmarekani ni Mu Oman. Tanzania hususan Unguja nilizalika na kusomea Bara. Huko nilikuja kikazi tu.
 
Watu mnataka kumualibia dili yake JK, mzee wa safari safari!!!
 
Wamarekani watawashangaa na kuwadharau.maandamano mnayafanyia ughaibuni mnajiona wanaume.njooni bongo kama mko wazalendo kweli.mnatuhamasisha kumwaga damu kukataa hali ngumu ya maisha wakati huko mliko nako ni vilevile.anzen jumpinga obama ndo mje kwa kikwete.
 
We nikome mi si Mtanzania wala mmarekani ni Mu Oman. Tanzania hususan Unguja nilizalika na kusomea Bara. Huko nilikuja kikazi tu.

Ok, samahani mkuu. Ila nimeshajijibu mwenyewe mengi tu.
 
Acha matusi Barubaru, kuna Watanzania tupo kiwanja miaka kibao vigezo vyote tunavyo na hatujachukua uraia wa mtu mpaka leo.

Ingawa nchi inavyoenda sasa tunaweza kulazimika.

Kama wewe umekaa na watu wasio karatasi vizuri usifikirie kila Mtanzania nchi za nje ana uchu na uraia wa watu.

Tena kuna watu washarudi mpaka bongo ingawa wana privileges zote za kuomba uraia hapa.

Sio kla mtu analimbukia uraia wa watu kihivyo.

Acha kuniongopea kwani mi nawafahamu fika na nimekuwa nahudhulia hata function zao wakti wa Mh Mustafa Nyang'anyi. Hivyo nipe ni nani hao ili nikupe data zao.

Labda uniambie ni raia wa marekani walioukana uraia wa tanzania ndio wanaandamana lakini si vinginevyo.

Haya lakini all in all sie yetu subra.

Tusiandikie mate na wino upo
 
Safi sana maandamano hayo ni bora sana.
Bango"ona huruma ya watoto wa tanzania" pia "2005-2011 maisha bora kwa kila fisadi sio haki"
 
mngekuwa mnaandamana kushinikiza pia ajiuzulu ingekuwa poa zaidi
 
Content ya habari ilikuwa haieleweki, na sio swala la spelling, hakuna kitu kama United States Department!

Isitoshe, U.S. State Department hawawezi kupokea maandamano binafsi ya Wabongo against Rais wao. Kebehi nyingi kumbe waongo, vilaza wakubwa.

this is new!!!!!... wakilazimisha JE!?
 
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

FaizaFoxy, hadi kieleweke. Wewe endelea kumpanulia ****** miguu mkiwa safari zenu. Unadhani hatukujui, siye tunaandamana alafu.
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii hadi atoke madarakani

Safi sana maana Kikwete ni janga kubwa kwa Tanzania na Watanzania. Inabidi ashinikizwe huyu ili aondoke madarakani haraka sana badala ya kuendelea kuwepo hadi 2015.
 
Achaneni na huyu bi kizee FF zake zimekwisha, hebu tuzungumzie issue iliyopo mbele yetu, huyu anatumwa kuvuruga mijadala yenye tija kwa taifa letu. Mkizidi kumjibu anapata bichwa.

Moja ya mabongo lisomeke "JK kama nchi imekushinda kuwa muungwana achia kazi, singizia chochote hata afya (ingawa hapa husingizii), tutakusamehe"


Hilo bango litasomeka vizuri zaidi ukiondoa neno KAMA. Lisomeke: "JK nchi imekushinda achia ngazi."
 
Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani

Mkuu mwingereza, Heshima mbele sana.

Haya maandamano yanafanyika Washington DC ya Washington au ya wapi?..

Respect
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom