Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 258
Nawatakia maandalizi mema na MUNGU awatie nguvu.
Aje nani sasa! Mabadiliko haya hayawezi kuanzia Washington DC.Dhima ya maandamo iwe "KIKWETE AJIUZULU" Tutambembeleza mpaka lini kuwashughulikia mafisadi miaka 5 sasa na amegoma ni muda wa Kikwete kuondoka sasa...!
Kwa mlioko huko, United States Department ndio nini?yatapokewa na viongozi kutoka United States Department.
Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
I know and we shall win!
Tunaomba pia kadi za vyama vyenu isije kuwa mnapigania vyama vyenu badala ya taifa letu lakini ukweli unabaki palepale tunahitaji kushughulikia mapungufu kwa kadri ya faida ya taifa letu

Dhima ya maandamo iwe "KIKWETE AJIUZULU" Tutambembeleza mpaka lini kuwashughulikia mafisadi miaka 5 sasa na amegoma ni muda wa Kikwete kuondoka sasa...!

duh! Nyie kweli watata mmh!
Na hawa mafisadi kitu cha kuwafanyia siku ya siku ni kuwadhalilisha kama Mubarack wa misiri.
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
Hili nalo linahitaji degree kulijuwa? mbona tunavunjana moyo kiasi hiki? kama wewe una access ya kutumia internet halafu hata matumizi ya Google hauyafahamu! hili linasikitisha kuliko maelezo.Kwa mlioko huko, United States Department ndio nini?
Haya magamba ndio yamesababisha typhoid na minyoo na wewe unajisifia, kweli wewe unafikiri kama wabunge wa CCM, muulize masaburi atakwambia wanafikiri kwa kutumia nini

wamekosa kazi tena wameshiba hao. Kama mna uchungu na nchi yenu mbona mko huko mnakula mnashiba si mje Tanzania na nyie mpate taifodi na minyoo!
Umeanzia alipokuwa wizara ya Nishati na Madini kwa kusaini mkataba wa kifisadi wa IPTL.Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Nakumbuka ndio yeye alitutajia list of shame pale mwembeyanga, halafu alivyo muungwana na yeye akajiweka kwenye hiyo list.Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?

Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?

Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?