Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

There are currently 432 users browsing this thread. (149 members and 283 guests)


Ich würde erwarten, dass alle Mitglied chadema Fan Kuwa barabarani aber fuuny genug alle ihnen sind hier hinter dem Bildschirm, gehen Sie bitte auf der Straße sehen Sie die Macht der Regierung zu sehen

i would expect, that all members chadema fan kuwa barabarani but funny enough all them are behind the screen, please go to the streets, see the government's power - Ndio hiko kijerumani chako feki ulioandika hapo. Tumekubamba mkuu.:A S 112:
 
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!

Mkuu bila jamii kujitambua na kuelewa chanzo cha uozo na maisha duni ni vigumu kufanya mabadiliko yenye tija ya maendeleo. Watu waweza bakia gizani ki uelewa wakidhani ndo "mapenzi ya Mungu". Maandamano hujenga umoja na uelewa wa pamoja. Najua unayafahamu haya nikuelezayo, huenda unapinga kwa "sababu zako".
 
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?

Pole sana kwa mawazo finyu. Inawezekana umeridhika na umaskini wako. Halafu kama lugha huielewi, unaonaje ukiiacha tu. Sijui ulikuwa unauliza maana ya piece au ulikuwa unamaanisha peace!
 
Chadema ni chama tawala mwanza kwa maana hiyo wananchi lukuki wamejitokeza kwenye maandamano na mkutano unaoendelea viwanja vya furahisha. Naweza kusema pikipiki/ boda boda zote za jiji la mwanza zimeongoza maandamano.
 
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?
Watumie Bunge la nani, Anna Mamba sijui Semamba Makinda? Wewe unaongea kama huoni kianchoendelea kwenye Bunge la hicho kikongwe.
 
181504_1806066066579_1087715548_32082106_6174828_n.jpg 183828_1806065666569_1087715548_32082104_315948_n.jpg 180624_1806074066779_1087715548_32082117_704847_n.jpg

wale wataalam wa kukuza picha mnaweza kuikuza,
nimezipata toka kwa mdau kanitumia yuko pande za mwanza
 
Once posted ny Nyantella

Kwa kweli sijawahi kumsikia hata Dr. Slaa akihimiza watu kufanyakazi ila wajiletee maendeleo binafsi na maandamano tuuuu ndiyo yatakaitoa TZ katika giza? I doubt! na hata sisi wa pembeni tunao m adimire Dr. Slaa tunaanza kuchoshwa na hii tabia ya kitoto mtu mzima na Phd yake ambaye anaweza kuwa rais wa nchi hii anakosa busara kiasi hicho! na yeye anaendekeza sifa za kijinga! yaani CDM sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano, Maendeleo kwa mtindo huu tusahau!!! tabia ya kuiga tembo kunya itatupeleka pabaya!! walibya ni wa pili kwa Oil production duniani, na nchi zoote za kiarabu huko kaskazini (Tunisia, Misri etc.) they can afford kuishi mawiki wakiandamana na kuuana maana baada ya maandamano mafuta bei juu wata recover sisi huku tuna nini? mafuta tunaagiza pesa ya kigeni ndiyo hivyo tena inatumika ki aina sijui tufanyeje.

Libya ndiye main supplier wa mafuta kwenda Ujerumani hata wakati walipowekewa vikwazo na Bush mafuta waliuza Ujerumani kama kawa. andamaneni wala hamtasikia jamaa yenu Obama akisema kitu itakua Somalia nyingine and nobody will give a shit.
HTML:

nyantela usijifanye umewahi kumuadmire Dr Slaa!!!!! tuachie wenyewe tupambane na game la ukombozi!!
 
mimi leo nipo mwanza nipo hapa kwa biashara zangu,ila namimi baada ya kuwaona viongozi wetu wako ktk magari wanakula kiyoyozi wanyonge wanaungua najua nimekodi taksi nawasubiria viwanja vya furahisha,ila kwahakika watu niwengisanasana,nasubiri viongozi watatoa hotubagani,kwangu hilo ndio kubwa kulikoyote.

Hapa wanaonekana vizuri ambavyo wamening'inia kwenye magari Login | Facebook
 
Maandamano ya CDM ni kupinga Bei ya umeme na kulipwa DOWANS. wewe unasema watu wanataka Barabara, Hospitali na shule Swali je tukae gizani? hujui Pesa za barabara ndo hizo zinazoenda DOWANS. Tafakari kabla ya kusema.

Ni mjinga huyo na ndiyo tatizo la watanzania wengi. Hivi inawezekana huyo jamaa mwenye mawazo hayo ni form four leaver anayeuuza machungwa barabarani! Kama ni ukombozi wa fikra za wananchi, kazi tunayo!
 
more photos pls, and what is going on at the moment!!!
 
Natumaini mmeshawasili Furahisha kwa ajili ya kuendelea kufungua fikra za wengi,kila la kheri CHADEMA,siku zoote ukimfungia mbwa (ccm)nyama shingoni hawezi kufikisha nyumbani
 
Pamoja na kwamba watanzania ni wamoja bna watulivu wapenda amani, ni usenge kuchangia gongo la mboto ilhali mwinyi na mwannyange hawajajiuzulu! ndio maana watanzania kama kina ze marcopolo na wajinga wengine wengine wanataka tuendelee kuwa mafala!
 
Hivi yule mtoto wa Ndesamburo mbona huwa ashiriki maandamano yoyote ya Chadema pamoja na kupewa Ubunge wa viti maalum? au anaamini pesa ya baba yake inamuwakilisha?

hapa tunajadili ya mwanza we tumekustukia unataka kupoteza mwelekeo wa hii threat ivyo anzisha yako
 
mbona wamemzunguka Presidz na fimbo zao za ffu!! na redio calls kibao!
 
Ni kweli Bunge lina kamati mbalimbali lakini walio wengi kwenye hizo ni wa Chama gani? Wanachotetea chama "B" siyo kilicho kenye sera ya chama "A"

Ndio kwanza Kamati zimeundwa. Si msubiri basi muone kwanza watafanya nini? Waachieni wafanye kazi yao badala ya kuanzisha maandamano ambayo yanaweza yakazaa vurugu na kusimamisha hayo maendeleo tunayoyataka!
 
Back
Top Bottom