Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Get your facts straight kabla hujajiacha mtupu hadharani: Libya ni ya 9 kwa proven oil reserves na sio namba mbili,Once posted ny Nyantella
Kwa kweli sijawahi kumsikia hata Dr. Slaa akihimiza watu kufanyakazi ila wajiletee maendeleo binafsi na maandamano tuuuu ndiyo yatakaitoa TZ katika giza? I doubt! na hata sisi wa pembeni tunao m adimire Dr. Slaa tunaanza kuchoshwa na hii tabia ya kitoto mtu mzima na Phd yake ambaye anaweza kuwa rais wa nchi hii anakosa busara kiasi hicho! na yeye anaendekeza sifa za kijinga! yaani CDM sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano, Maendeleo kwa mtindo huu tusahau!!! tabia ya kuiga tembo kunya itatupeleka pabaya!! walibya ni wa pili kwa Oil production duniani, na nchi zoote za kiarabu huko kaskazini (Tunisia, Misri etc.) they can afford kuishi mawiki wakiandamana na kuuana maana baada ya maandamano mafuta bei juu wata recover sisi huku tuna nini? mafuta tunaagiza pesa ya kigeni ndiyo hivyo tena inatumika ki aina sijui tufanyeje.
Libya ndiye main supplier wa mafuta kwenda Ujerumani hata wakati walipowekewa vikwazo na Bush mafuta waliuza Ujerumani kama kawa. andamaneni wala hamtasikia jamaa yenu Obama akisema kitu itakua Somalia nyingine and nobody will give a shit.HTML:
nyantela usijifanye umewahi kumuadmire Dr Slaa!!!!! tuachie wenyewe tupambane na game la ukombozi!!
Chama chenye viongozi wa wanafiki wakubwa hawaishi kwa Vitendo wanaishi kwa maneno tu! Tulitegemea Chadema wakatae zile 90 milion walizopewa wabunge! Hakuna hata Mbunge mmoja kutoka chadema aliejaribu kusema juu ya ufisadi huo! Leo wanapoteza muda kuandamanisha watu wanafiki wakubwa hao,hawana maana yeyote! Nimeanza kuichukia Chadema kwa kukubali kula rushwa ya 90m wakati watu wetu ni maskini! Tanzania hakuna chama chenye uchungu na watanzania vyote vinalengo la kujinufaisha na maslahi ya viongozi tu!
Once posted ny Nyantella
Kwa kweli sijawahi kumsikia hata Dr. Slaa akihimiza watu kufanyakazi ila wajiletee maendeleo binafsi na maandamano tuuuu ndiyo yatakaitoa TZ katika giza? I doubt! na hata sisi wa pembeni tunao m adimire Dr. Slaa tunaanza kuchoshwa na hii tabia ya kitoto mtu mzima na Phd yake ambaye anaweza kuwa rais wa nchi hii anakosa busara kiasi hicho! na yeye anaendekeza sifa za kijinga! yaani CDM sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano, Maendeleo kwa mtindo huu tusahau!!! tabia ya kuiga tembo kunya itatupeleka pabaya!! walibya ni wa pili kwa Oil production duniani, na nchi zoote za kiarabu huko kaskazini (Tunisia, Misri etc.) they can afford kuishi mawiki wakiandamana na kuuana maana baada ya maandamano mafuta bei juu wata recover sisi huku tuna nini? mafuta tunaagiza pesa ya kigeni ndiyo hivyo tena inatumika ki aina sijui tufanyeje.
Libya ndiye main supplier wa mafuta kwenda Ujerumani hata wakati walipowekewa vikwazo na Bush mafuta waliuza Ujerumani kama kawa. andamaneni wala hamtasikia jamaa yenu Obama akisema kitu itakua Somalia nyingine and nobody will give a shit.HTML:
nyantela usijifanye umewahi kumuadmire Dr Slaa!!!!! tuachie wenyewe tupambane na game la ukombozi!!
Unaweza chukua kamba ukajinyonga, haujalazimishwa kuishi na kushuudia umma unapodai haki zao. Kapeleke pesa ya dowans bank.Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Naona una kizunguzungu nenda hospitali ya milembe iliyopo Dodoma!Mbona watu wachache namna hiyo, au matembezi hayajaanza....
i would expect, that all members chadema fan kuwa barabarani but funny enough all them are behind the screen, please go to the streets, see the government's power - Ndio hiko kijerumani chako feki ulioandika hapo. Tumekubamba mkuu.:A S 112:
Ni wewe tu ndiyo unaogopa nguvu ya umma (maandamano). Unafaidika na uozo uliopo nn?
Maandamano yanadai matumizi makini zaidi ya raslimali za nchi yetu, ili kiasi kinachookolewa kikajenge hizi barabara, hospitali, shule unazozisema.
Hongera Mwanza. Huu uwe ni mwanzo tu. Inahitajika sustained pressure kuwasambaratisha hawa mafisadi.
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.
Aluta Continua.
From kwenye Maandamano Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Picture added by JF Admin
Walala hoi wanatembea kwa miguu nyinyi mko ndani ya gari,