mchonga
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 1,233
- 249
mbona wamemzunguka Presidz na fimbo zao za ffu!! na redio calls kibao!
wanampa ulinzi anaostahili Presdaa wa watu.
mbona wamemzunguka Presidz na fimbo zao za ffu!! na redio calls kibao!
Pamoja na kwamba watanzania ni wamoja bna watulivu wapenda amani, ni usenge kuchangia gongo la mboto ilhali mwinyi na mwannyange hawajajiuzulu! ndio maana watanzania kama kina ze marcopolo na wajinga wengine wengine wanataka tuendelee kuwa mafala!
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Mbona watu wachache namna hiyo, au matembezi hayajaanza....
Dr is bored now afadhari asimamie MATEMBEZI YA AMANI...hivi ni nini kinategemewa kutokana na matembezi haya?
Kutolipa Dowans?
Gharama za maisha kushuka?
Je wakilipwa na gharama za maisha zikiendelea kwenda juu nini kitafanyika matembezi mengine mbeya?
Hapa wanaonekana vizuri ambavyo wamening'inia kwenye magari Login | Facebook
Pamoja na kwamba watanzania ni wamoja bna watulivu wapenda amani, ni usenge kuchangia gongo la mboto ilhali mwinyi na mwannyange hawajajiuzulu! ndio maana watanzania kama kina ze marcopolo na wajinga wengine wengine wanataka tuendelee kuwa mafala!
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
kwa kweli anasisimua huwezi kumfananisha na sofia simba anaesifia wanaume hadhani kuwa ni wanaume wa shokaMwambie na mimi na mfurahia sana