Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,460
Kuna Watu Hapa JF Wanaumia Kishenzi juu ya Kinachotokea leo Mwanza, Mwaka huu Mtavimba Mpaka Mpasuke Maadamu tunaungwa Mkono na Walalahoi hatuko Tayari kuwasikiliza nyie Mnaokosoa Mkiwa Nyuma ya Keyboard huku Mmevimbiwa na Kwa Kutumia Jasho la Maskini
Viva CDM Viva wana Mwanza
Viva CDM Viva wana Mwanza