Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
CDM mnatumia vibaya KODI zetu...saa nane ni saa ya watu kuwa makazini kutafuta riski.
Duh!! kumbe hata wewe unajua kwamba kazi za kibongo chini ya uongozi wa CCM ni kujitafutia risk tu? Ni kweli, maana unaweza kwenda kazini ukaishia kulipukiwa na bomu, ukafa. Kupunguza risk zitokanazo na kazi za kichovu bora kuandamana kudai maisha bora zaidi.