Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.

This person sounds bitter and dejected against himself! Just thinking...Otherwise, reading your statement...renders rendundunt the whole concept of freedom to assemble and express yourself! Just know these rights are not enshrined in the constitution for decoration. They are there to be enjoyed-(responsibly- I could add). Perhaps, you could go to the nitty gritties of their demands and make your arguments here based on them...examining their merits or otherwise.....now by these kind of sweeping statements..you make people question the motive of your line of thinking.

Masanja
 
Wee kweli Mkali.
kikwete+msibani.jpg

Ed_JK_Ambulance.jpg


Nimemuona Dr. Slaa hapo kwenye picha, inaonesha kama kachokaaaa, wamembebesha dunia babu watu roho riziki yake sasa du, watu wabaya!!!
 
Maandamano yanaendeleaje. Je wauwaji (polisi) wanaonekana barabarani au wanasubiri hadi mwisho:blah:
 
nakubaliana na aliyeesema kuwa haya ni matembezi na si maandamano.
Halima Mdee na wenzake wako kwenye gari wanakula upepo. Halafu mnataka kufananisha utani huu na kazi iliyofanyika Egypt!
 
Wee kweli Mkali.
kikwete+msibani.jpg

Ed_JK_Ambulance.jpg

Du hii kali. Kushoto naona wanaomsikiliza pia wamechoka na vibarakishia vyao, kulia watu wanashangilia halafu jamaa anaehutubia ana energy ya ajabu, huyu wa kushoto si akalazwe jamani na hayo madrip atatufia.
 
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Mkuu, mimi na wewe tunajua kwanini umeandika ulichoandika. Siku nchi hii ikikombolewa kutoka hili kongwa la utumwa hata wewe na mimi tutakuwa tumekombolewa!
 
CCM Presha inapanda inashuka

 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa za uhakika nilizonazo kuna maandamano makubwa ya amani yanaendelea huko mwanza wadau tunomba update na pics jamani.
 
Hata maandamano ni sehemu ya kuhamasisha maendeleo. Ndo maana hata mkulima haishii kulima tuu hata kuieleza familia yake kwamba shambani kumejaa nyani wanakula mazao wauawe ni sehemu ya shughuli za kilimo.



Excellent! Magogoni Kuna nyani wanakula Kodi zetu na Al Adawi
 
Ila Slaa this time amekuwa smart sana kumwambia girl friend wake, Josephine Mushumbusi, abaki nyumbani.
 
Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!

kikwete+msibani.jpg

mkuu hii picha uliificha wap? mbona hujawapa watu wa media wairushe nchi nzima plus maofisini Dr fek ndi hapo anapoonekana......... kama kuna mtu alimpa kura yake akamwakilishe kama Rais akiangalia hapo anaweza juta kuchagua chausingizi front of peoplez
 
Jamani mimi napenda sana CDM nawashauri watuhamasishe wananchi wote tuone umuhimu wa mabadiliko maana wengi wetu bado tupo kwenye usingizi mzito.Mambo yanayoendelea ktk serikali hii yanakatisha tamaa na yametuchosha hebu jitahidi kuorganize kila upande nguvu ya umma ieleweke tuamke.
 
Back
Top Bottom