Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

Tunawaombea wana arusha wafanye watakacho kwa amani na bila kuingiliwa na majeshi...............majeshi km hayana kazi yapelekwe sudan, ivory cost , afghanstan, korea tensions, na kweningeko lakini sio kutishia raia
 
Uhuru usiokuwa na mipaka ni FUJO. Watawala wasiojali matakwa ya raia wao ni MADIKTETA. Uhuru ni kazi. Julius Nyerere.
 
Katika kitu ambacho nimekishuhudia leo hapa Arusha asubuhi hii ni kua kwenye kila raia wawili kuna askari watatu pamoja na magari ya polisi yakiwa na askari waliovalia kivita kama vile tuko Afganistar! yoote haya ni kua Chadema wameruhusiwa kufanya mkutano lakini hakuna kuandamana kwaajili ya kwenda kuwapokea viongozi wao wakitaifa. Katika ujio huo wa viongozi hao yupo katibu mkuu Dr.Wilbrod Slaa/Tindu Lisu/Freema Mbowe na na viongozi wengine wa Chadema. Kweli mwaka huu wanachadema sijui itakuaje:A S 39:

Acha makuzi na uongo kaka, kwenye kila raia wawili kuna askari watatu??? Duh
 
Hakuna kulala ni kupambana mbaka kieleweke,haikubaliki kuona haki ikiporwa!!
 
I hate this Andengenye puppet!...!Majitu yako na profession zao lakini wanapelekeshwa na wanasiasa...
Hivi kazi ya polisi ni kulinda amani au kutumikia wanasiasa?...
Syphilized minded...YOU aNDENGENYE!

Syphilized minded...YOU aNDENGENYE .........

True
 
Tunawaombea wana arusha wafanye watakacho kwa amani na bila kuingiliwa na majeshi...............majeshi km hayana kazi yapelekwe sudan, ivory cost , afghanstan, korea tensions, na kweningeko lakini sio kutishia raia
ikilazimu ngumi kutembezwa zitembezwe pengine hili genge la washenzi wataacha kutawala kishenzi. Amani ikizidi uharibifu huwa mwingi. There has to be an end hata kama ni kwa damu. (sorry)
 
Hakuna kulala mbaka kieleweke,hatuko tayari kuona haki zetu zikiendelea kuporwa!!
 
Kama docta Slaa alivyosema., Amani itaharibiwa na ccm wenyewe

Utawala wa miaka 10 wa jey kei, utaligharimu taifa hili kwa karne nzima..
 
Hivi polisi wa Arusha hawaoni aibu kuwafuata raia wasio na dalili ya kufanya fujo? Leo watashinda njaa. Sidhani kama Andengenye atawapa dry ration. Ama kweli huo ni umbumbu.

______________________________________________________________________________________________________
"Wars are caused by undefended wealth" -- Ernest Hemingway
 
Maandamano ni noma! maana vifaa vilivyopita hapa(uhuru road) kwa ajili ya kuzuia maadamano vinatisha!
Ngoja tuone ni vifaa gani vinaweza kuzuia nguvu ya UMMA....!nwa y may be ni vifaa kwa ajili ya kuwalinda wenye nchi..!
 
Mie niko kimya nimefunga na kuomba ili yasitokee maafa. maana hao sio watu wao kuua ndio wana pandishwa vyeo. Long live CDM
 
amka mtanzania,,, amka sasa amka amka wewe ndo wakuleta mabadiliko..Mungu awalinde na Kuwaongoza katka safar ya Mabadiliko
 
Back
Top Bottom