Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Arusha ndio ilipaswa kuyasogeza Maandamano ya CHADEMA yawe kesho!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,003
Ukweli ni kuwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha ndio ilipaswa kumshauri RPC kutengua Kibali cha maandamano ya CHADEMA Ili kupisha mazishi ya kimkoa Uwanja wa Sheikh Abeid.

Unaweza kudhani Katiba ya Tanzania haisemi Polisi watoe kibali lakini ukweli ni kuwa huwezi kuandamana bila Ulinzi wa Polisi kwahiyo Ulinzi ndio Kibali chenyewe.

Nawatakia Kwaresma njema. 😄
 
Kuna mijitu imepora msiba..

Hapa nyomi kama siafu nasikia itapita kuaga then Lerini.....huu umati ukitinga hapo uwanjani duuh

Nyimbo za Bob zinarindima kama kishindo cha SABA SABA
 
Back
Top Bottom