Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.
Ebu tuondolee upuuzi wako wa kiyuvisisiemu hapa
 
Hali hii haiwezi kuvumilika. Raia watanzania wanathamani kubwa sana. Si busara kwa viongozi wa siasa kuwashawishi raia kuvunja amri za serikali iliyo madarakani kisheria. Watanzania tuwe MAKINI na viongozi wachanga wasio na huruma na raia. Si kila kitu POLISI wanakosea. Kuna mengine watu wanataka wenyewe hasa kama busara haitumiki katika maamuzi.

Mud! Mmeanza kuruhusu hata mandondocha kutoa maoni? kweli hili bwabwa/punga
 
chadema imemwagwa damu...? damu ya wanachadema iliyosababishwa na jeshi la polisi.... polisi wameua watanzania wasio na hatia in the name of politics

Nasikitika
 
tatizo lenu mnafikiri wachaga na wamasai wa arusha wanawakilisha tanzania nzima! fundisho liwe kwenu nyinyi mkome kulazimisha fujo ebo!

Kalagabaho kama lilivyo jina lako umvivu wa kufikiri! Nyamaza kimya na ukatokomee mbali!
 
chadema imemwagwa damu...? damu ya wanachadema iliyosababishwa na jeshi la polisi.... polisi wameua watanzania wasio na hatia in the name of politics

Nasikitika

Chadema ndio waliosababisha damu kumwagika, waliambiwa wasiandamane! na dola ikisema ni sheria. Halafu unataka kumlaumu nani?
 
Mud! Mmeanza kuruhusu hata mandondocha kutoa maoni? kweli hili bwabwa/punga

Kwa nini mkiambiwa kweli mnaanza kuwaita watu majina yasiyostahiki? hii inaonyesha vipi mlivyo, ni watu wa fujo na si wapenda amani.
.
 
Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateTue Nov 2007Posts725Thanks1Thanked 0 Times in 0 Posts

Did you find this post helpful? |
MOD WEKA NA WEEK POST/BAD POST
 
Haya sasa kuna kikao kufikiria kuifuta Chadema au kuisimamisha kwa muda usiopungua miaka mitano au nane !Kifutwe tu,wanataka kutuletea Rwanda hapa ?Ustaarabu umewashinda !!:confused2:

Huwa huangalii kwenye luninga nchi zenye serikali za kistaarabu wanavyokabiliana na waandamanaji! Mfano, Unakumbuka Ufaransa ilivyokabiliana na vuguvugu la wahamiaji, pamoja na kwamba wale wahamiaji walichoma majengo na magari kadhaa, ulisikia polisi wakiuwa watu hovyo. Ujinga wako peleka kwa mume wako siyo humu!
 
chadema iandae maandamano ya nchi nzima hata kama kila mkoa utafanya kwa wakati wake lengo ni kutaka kuonyesha hawa wanaotaka kuangamizwa hii nchi kuwa hakuna anayependezwa na uozo wao na hakuna wanachokifanya, huu ni uongozi wa kuangamiza nchi na si kujenga nchi.
 
Mkuu maandamano yawe siku moja nchi nzima hapo ndo kitaeleweka! Hayo magari ya washa washa yatakayo eneo mikoa yote? labda watumie mabilioni wanayo taka jichotea kwa kisingizio cha dowans!
 
Chadema ndio waliosababisha damu kumwagika, waliambiwa wasiandamane! na dola ikisema ni sheria. Halafu unataka kumlaumu nani?
yaani umeongea kama mwana ccm kabisa...
hivi kibali cha maandamano kilitoka? ndio
RPC si alikubali kuwalidna tena 12 hours before maandamano time? ndiyo
Watu wametoka mikoani kuwahi maandamano yaliyokuwa confirmed? ndiyo?
taarifa zipi za kiinelijensia zilizo HQ lakini RPC hazijui? sijui
Je wananchi wana haki ya kikatiba kuandmana? ndiyo
je wangewaangalia tu waandamanaji kungetokea dhahma? hapana
Je baada ya kutumia nguvu, polisi wamepata walichohitaji? Hapana
Je, kupiga wanawake ndio uanaume? Hapana

Na mengine mengi tu bw/bi zomba... ila kwakuwa wewe uko kwenye mpini, nakuelewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom