KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Manumba pangua na hii, tetea polisi hawajaua ila watu wamekanyagana wakiwatoroka polisi.
Teh teh!kwa hili hawachomoki,teh teh.Manumba pangua na hii, tetea polisi hawajaua ila watu wamekanyagana wakiwatoroka polisi.
Kumbuka Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Shamsa Vuai Nahodha na MHESHIMIWA KAGASHEKI pamoja na Mkuu wa POLISI Saidi Mwema !!!! Tafadhari Wakuu mawaziri shuka huko Ruvuma kabla watu hawajamalizana na Polisi!!!!!!!! Kwani watu wakiandamana kama Senegal wakatoa duku duku lao inakuwaje, kwani lazima wazimwe kwa risasi?????Kweli hiiiiiiiiii ni hali zaidi,nguvu zaidi,na kasi mpya ya wanaccm kwa kuua raia wasio kuwa na hatia.
Musha iona CHADEMA FREE MASSON? ENHEE!!!!!!!!!!!
kutokana na ufirauni wa ccm,sasa ya leo songea ni CV jingine kujiongezea,washeni helcopa yenu sasa na paeni to Songea faster,we Zitto kabwe mpigie Mdee na mnyika.
Mheshimiwa Nchimbi na Jenesta Mhagama si mumshinikize Shamsa Vuai Nahodha atelemke Ruvuma, au kwa vile Songea sio watu????? Mwishowe mtalazimisha watu watengeneze mabomu ya kienyeji sijui mtawazui vipi moto ukiwaka?????![]()
wapiga kura wenu wanakufa mpo wapi nyie?
Tupinge!!!!!Aaah wapi, humpati mtu hapo. Chadema itakwenda Songea kwa wakati muafaka, si kama unavyofikiria na kutaka wewe.
Upande gani.sababu ya hayo mauaji ni nini? ushirikina ujambazi au, naona habari iko upande mmoja.
Upande wa songea!Upande gani.
Atakwenda kwenye misiba Ruvuma sijui atahudhuria mingapi, mzee wa sanaa!!!!!Hakuna asiyejua,alieidhinisha mauaji haya nchi nzima ni Amiri Jeshi Mkuu,Mh Jakaya Mrisho Kikwete,hana huruma na wananchi wake,anaruhusu mauaji ili wananchi wasidai haki zao,anawatisha wanachi wanapokuwa mikono mitupu bila silaha wakionyesha kuto kuridhishwa na utendaji wa serikali yake,watoto,vijana,wanawake wanaume,wanauawa kila siku kwenye nchi hii bila hatua yeyote
Damu ya hawa wazalendo wa kweli ambao wamekataa kuingia msituni na kushika bunduki,ambao wanaonyesha kutokuridhishwa kwa njia ya wazi,ambao hawajavunja sheria yeyote ya nchi iko mbele ya uso ya mheshimiwa sana Raisi wa nchi hii majibu ya dhuluma anayowafanyia wananchi atakuja kuyapata kabla hajaondoka 2015
Poleni wana Songea ,Majonzi yenu,vilio vyenu,damu yenu itafungua mlango wa haki ,karibuni ,mungu awape ujasiri mukatae kuonea na kunyanyaswa na Jeshi la Polisi lililoagizwa kuua raia wasio na hatia na Kikwete
Poa mkuu!
Picha ziko kwenye hii blog,songeayetu.blogspot.com nashindwa kuzi upload anayeweza afanye hivyoo!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tunahitaji Habari zenye hadhi ya JF bila kusahau ku upload picha halisi.
Hali ni tete hapa songea polisi imejeruhi watu na sita nimeshuhudia wakiwa wamekufa ni hali ngumu sana kwani ni mabomu na risasi ndo zinarindima kuzuia maandamano ya wananchi wanaolitaka jeshi la polisi kuwajibika kwa vifo vya raia vinavyofanywa na kundi la siri toka msumbiji!