Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 878
Mkanganyiko wa aina yake uko kwenye taarifa
zenyewe kuhusu idadi sahihi ya majeruhi na wale waliokufa huko mkoani Songea.Kulingana na gazeti la Mwananchi:
1.Polisi inasema waliokufa ni wawili na majeruhi
ni 10.
2.Uongozi wa hospitali ya mkoa umesema
umepokea maiti 4 na majeruhi 41 wawili kati ya
hawa majeruhi wakipelekwa chumba cha
upasuaji kutokana na kuwa na majeraha ya
risasi.
3.Ofisi ya Mkuu wa Mkoa inasema waliokufa ni wawili na majeruhi 20.
Kwa kawaida ukipata taarifa za ''casualties''
kwenye maafa yeyote hasa yanayoweza kuitia
serikali matatani(RC ndiye mwakilishi wa serikali
hapo) zidisha mara 2 angalau utakuwa umefikia kwenye idadi kamili.
My take:
Mfumo wa kushughulikia maandamano ya
wananchi na namna ya utoaji taarifa juu ya maafa ya kizembe yanayotokea unahatarisha the so called ''amani nchini''.
Yaliyotokea Zanzibar kipindi cha Mkapa hasa ule wakati wa uchaguzi yana nafasi kubwa ya
kujirudia tena lakini sasa kwa kiwango kikubwa
hapa Tanzania Bara kwenye uchaguzi ujao.
Kama Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika
vizuri na idadi ndogo ya watu katika sehemu tu
ya mkoa wa Songea pata picha machafuko yakiwa katika kiwango cha kitaifa.
''Massacre in the making''
Napenda kuwapa pole wakazi wa Songea waliofikwa na huu unyama wa Polisi na wale waliofiwa ndugu na wapendwa wao.