TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 580
Na hii nayo ya kisiasa!
Polisi wanahusikaje hapo! wrong suspect divert from reality!
nadhani haujasoma hadi mwisho ndugu.jesh la police lazima lilaumiwe.
Na hii nayo ya kisiasa!
Polisi wanahusikaje hapo! wrong suspect divert from reality!
Nimefanya mavungumzo na Rpc wa Ruvuma kwa kweli maneno anayoongea ni ya kutokokuwa na huruma wala kujali,nitayaweka mazungumzo hayo hapa muda c mrefu.Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi wasio wenyeji wa mahali husika.
Na hii nayo ya kisiasa!
Polisi wanahusikaje hapo! wrong suspect divert from reality!
Only in Tanganyika:
Watu wanaandamana kupinga wenzao kuuliwa na majambazi na waandamanaji wanauliwa na mapolisi katili wa Mwema.
Eeh Mwenyezi Mungu kama kosa la Watanganyika ni kuichagua CCM tuondolee hiki kikombe. Ameni
Polisi wa Mwema haya ndio waliyojifunza ccp moshi......
Wananchi wa songea asubuhi ya leo walikuwa wanaandamana kushinikiza jeshi la polisi lichukue hatua kudhibiti mauaji yanayotokea kila siku mjini hapa. Katika maandamano hayo polisi walianza kuwashambulia wananchi kwa risasi za moto na mabomu ya machozi. mwandishi wa habari hizi amenusurika kupigwa risasi ambayo imempata mtu aliyekuwa jirani yake, ambaye amepoteza maisha hapo hapo. katika mashambulizi hayo mwandishi ameshuhudi watu wawili wamepigwa risasi na kufa hapo hapo. Mpaka na kwenda mtimboni bado risasi za moto zinarindima.
Mwandishi wa TBC akiwa anajihami na risasi za polisi
Mmoja kati ya waliouawa na polisi
Polisi wakifyatua risasi kwa raia
Dimbwi la damu
Poa mkuu!Ndio! Kuna police ameuliwa na raia wenye hacra baada ya raia mmoja kuuliwa kwa risasi ya moto
![]()
wapiga kura wenu wanakufa mpo wapi nyie?
Kwani wewe upo nchi gani?Songea iko mkoa gani?