Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Hali ni tete hapa songea polisi imejeruhi watu na sita nimeshuhudia wakiwa wamekufa ni hali ngumu sana kwani ni mabomu na risasi ndo zinarindima kuzuia maandamano ya wananchi wanaolitaka jeshi la polisi kuwajibika kwa vifo vya raia vinavyofanywa na kundi la siri toka msumbiji!