Rais wa Marekani Donald Trump: anasema
"Kwa hivyo, Iran iko katika shida kubwa. Inaonekana kwangu kwamba watu tayari washateka miji mbalimbali ambayo hakuna mtu aliyefikiria ingewezekana wiki chache zilizopita. Tunaangalia hali hii kwa makini sana. Na ilibidi tutaingilia kuwasaidia!!!
Nilitoa kauli hii kwa nguvu sana kwamba ikiwa wataanza kuwaua watu kama walivyofanya hapo awali. Tutahusika, tutakuwa tunawapiga vikali sana pale panapouma. Na hiyo haimaanishi kuwa watalala chini, lakini inamaanisha kuwapiga vikali sana pale panapouma sana."
View: https://x.com/osint613/status/2009731867550068988?s=61