Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
- More Dataz, mwingine aliyezungumza ndani ya NEC ni Kapteni Komba, another joker sasa sikiliza this one, ".....kaka yangu Sitta pole sana, naomba nikuambie wewe na wajumbe wengine wote humu ndani kwamba Lowassa na kundi lake ni marafiki zangu sana na siwezi kuachana nao hata kidogo....."
"...wewe kaka yangu Sitta nimekuambia mara nyingi sana kwamba haya mambo yako na hicho kikundi chako unaenda sana nje ya mstari, lakini hukutaka kunikisia, sasa ona yaliyokukuta ni bora tu urudishe kadi yetu kaka...."
- And more dataz ni kwamba Karume, aliahirisha kuhudhuria dakika za mwisho, yeye na watu wake wa karibu kama kumi, infact aliwapigia simu hata baadhi ya wajumbe wengine waliokuwa Dodoma tayari kurudi Visiwani maramoja, huku akiwaagiza kwa ukali kwamba wasihudhurie kikao hicho cha NEC. The dataz ni kwamba alimfahamisha Mwenyekiti wa CCM kwamba ana homa nzito sana, lakini cha ajabu kesho yake akaenda kukutana na Balozi mmoja wa nje somewhere in Dar.
- Na dataz zaidi ni kwamba sasa tuna a confirmed report kwa 100% kwamba wajumbe 40 in total ndio walioongea kwenye kikao hicho, na Dk. Mwakyembe ni mmojawapo kama tulivyosema mwanzoni, kama mambo yakienda akama yalivyo sasa, then kesho nitakuwa na more dataz za majina yote 40 na waliyoyasema huko NEC.
- Na more dataz ni kwamba hii game ya NEC, Dodoma imetengenezwa na Lowassa, akishirkiana na baadhi ya watu wa idara ambao wamekua wakisikika wakidai kwamba sasa baada ya kikao cha juzi chama kimekua ni imara tena. According to the more dataz ni kwamba the deal ni kumrudisha Lowassa kwenye Cabinet Mwaka 2010, kama waziri wa Nje, au Ulinzi ili Mwaka 2015 achukue kiti cha Urais bila tatizo, kwa hii kasi nina wasi wasi kwamba lisemwalo lipo! na Haya maneno yalitamkwa na Karamagi somewhere, akijaribu kumshawishi mzito mmoja wa CCM kujiunga nao mafisadi.
Wakuu hatujamaliza tutaendelea na hizi dataz kama kawa, as soon as possible! na Mungu Aibariki Tanzania na JF Idumu Millele, where we dare!
Respect.
Field Marshall Es!
kaka tunashukuru sana!kwakweli nashawishika kusema wazi kwamba UMETANDAA,na umefika kusikofikika.nimeprint so many dataz na kuwapa wapiga kura wengi tu.hapa sasa natokea mahala tulikuwa na member mmoja humu humu tulikuwa katika ligi ya kuwashawishi wapiga kura juu ya hichi kikao na yatokanayo!
mkuu,
hivi huyu komba................!sijaona point yoyote ati