Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,256
- 219,479
- Thread starter
- #61
unamuamini huyu ?Kangi Lugola yuko wapi akanushe habari hii?
ALIWAHI KUSEMA JESHI LA POLISI HALIFANYI KAZI KWA MAAGIZO YA CHAMA CHOCHOTE.
unamuamini huyu ?Kangi Lugola yuko wapi akanushe habari hii?
ALIWAHI KUSEMA JESHI LA POLISI HALIFANYI KAZI KWA MAAGIZO YA CHAMA CHOCHOTE.
Hakuna aliyefukuzwa kazi bhana acha uzushiHuyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akamatwe akahojiwe sasa
Wewe ni shit kwakua na wewe unaishi humuhumu Tanzania.Huku Kabudi anazunguka anaiambia Dunia kuwa mikutano ya kisiasa Tanzania haijazuiliwa muda huo huo kuna mtu anaagiza polisi wafukuzwe kushindwa kuzuia mikutano ya kisiasa,mnafikiri hawajui kinachoendelea Tanzania ,Sithole State
Watanzania tutaendelea kuwa misukule mpaka lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bin hoi limebaki jivu tu la ccm lililobeba mabunduki 🤣CCM visiwani ni taabani
Huyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akahojiwe
Hapana mkuu, atimiza wajibu wake kwa mujibu wa sharia halali ya vyama vingi.Huyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akamatwe akahojiwe sasa
Sasa kwanini wasitumie ofisi za CCM kwa sababu ni vigumu kutofautishaAmesema sababu nyingine ni kutojengwa nyumba za polisi kisiwani humo licha ya Serikali kutoa maagizo.
Kuna Great thinker alihoji undondocha wa huyo jamaa na alikuwa right.Nani kafukuzwa ndugu?
Huo ni udhibitisho kuwa nguvu pekee ya ccm ni matumizi ya vyombo vya dola. Hizo hofu anazopandikiza huyo waziri, ndio huwafanya viongozi wengine wa jeshi la polisi kutii lolote wanaloogizwa dhidi ya haki za wapinzani, na wengine huenda mbali mpaka kufanya mauaji au kuleta vilema ili kulinda vyeo. Hivyo vyombo vya dola ndio pekee vinavyoendelea kulinda uwepo wa ccm hapa nchini.
[/QUOTE
Na isitoshe ile Ni nchi nyingine
Kwa kosa gani?Huyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akamatwe akahojiwe sasa