Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,894
Ha ha ukiisoma hii kitu watu walimstukia wakaona wawalaze wote
NAIONAONEKANA KATESA WENGI KIMYA KIMYA WAKANZA KUKUMBUKA SHIDA ZAO WANAKIJIJI WAKASEMA NAWE UENDE TU
Ha ha ukiisoma hii kitu watu walimstukia wakaona wawalaze wote
Hahahaa umebadili na ROHO MPWASumu ya nyoka hubadili rangi ya ngozi je kulikuwa na kitu kama hicho au walau jeraha?
Kisa cha kuanguka hiyo boda boda ni purukushan huyo kati Yao nadhan alichomoka kwenye bag na baba yake alivyohojiwa alisema ni kawaida yake kudakadaka nyoka wakiwa shambaniMkuu pia umezidisha utata sasa aliwezaje kumbeba umbali wrote huo akiwa ndani ya mfuko wa koti pasi kumdhuru ? Bwana yule ni nyoka tu
Nimeona video ya mahojiano na dereva boda boda aliyembeba huyo marehemu na mashuhuda possibility ya huyo jàmaa ķuwa alikufa kwa sumu ya nyoka ni kubwa.Maelezo Yao ni tofauti na kinachoandikwa na magazeti.Mashuhuda wanasema huyo jamaa baada ya nyoka kuingia chini ya daraja aliingia na yeye na kuanza kumvuta na nyoka akawa anachoropoka baada ya purukushan,jamaa akaanza kuishiwa nguvu huku anatoa povu na kujikojolea ndipo wananchi wakawahi kumuua nyoka;Magazeti yanatuambia jamaa alikua anaishiwa nguvu kila nyoka anapopigwa
mkuu km una iyo clip,,just post humu tuione,,pliiizNimeona video ya mahojiano na dereva boda boda aliyembeba huyo marehemu na mashuhuda possibility ya huyo jàmaa ķuwa alikufa kwa sumu ya nyoka ni kubwa.Maelezo Yao ni tofauti na kinachoandikwa na magazeti.Mashuhuda wanasema huyo jamaa baada ya nyoka kuingia chini ya daraja aliingia na yeye na kuanza kumvuta na nyoka akawa anachoropoka baada ya purukushan,jamaa akaanza kuishiwa nguvu huku anatoa povu na kujikojolea ndipo wananchi wakawahi kumuua nyoka;Magazeti yanatuambia jamaa alikua anaishiwa nguvu kila nyoka anapopigwa
sumu ya nyoka haiui haraka kiasi hicho, shetani yupo, hujawahi ona MTU anaombewa na baada ya pepo kutoka anakwambia alikua makaburini.. shetani yupo na tunaishi na watu kumbe ni miti.Sumu ya nyoka hubadili rangi ya ngozi je kulikuwa na kitu kama hicho au walau jeraha?
Sikumbuki niliiona wapi ila nahis ni Bongo5mkuu km una iyo clip,,just post humu tuione,,pliiiz
sumu ya nyoka haiui haraka kiasi hicho, shetani yupo, hujawahi ona MTU anaombewa na baada ya pepo kutoka anakwambia alikua makaburini.. shetani yupo na tunaishi na watu kumbe ni miti.

Inategemea aina ya nyoka na aling'atwa muda gani;sumu ya nyoka haiui haraka kiasi hicho, shetani yupo, hujawahi ona MTU anaombewa na baada ya pepo kutoka anakwambia alikua makaburini.. shetani yupo na tunaishi na watu kumbe ni miti.
lakini kwenye picha, maerhemu alionekana kang'atwa na nyoka kwenye kisiginoNimeona video ya mahojiano na dereva boda boda aliyembeba huyo marehemu na mashuhuda possibility ya huyo jàmaa ķuwa alikufa kwa sumu ya nyoka ni kubwa.Maelezo Yao ni tofauti na kinachoandikwa na magazeti.Mashuhuda wanasema huyo jamaa baada ya nyoka kuingia chini ya daraja aliingia na yeye na kuanza kumvuta na nyoka akawa anachoropoka baada ya purukushan,jamaa akaanza kuishiwa nguvu huku anatoa povu na kujikojolea ndipo wananchi wakawahi kumuua nyoka;Magazeti yanatuambia jamaa alikua anaishiwa nguvu kila nyoka anapopigwa
I see it yet chiefSikumbuki niliiona wapi ila nahis ni Bongo5
Watu wanauliza kwa nini asimuume kabla wakati alikuwa kamkumbatia? au nyoka alipata sumu ghafla?huyo nyoka kamuuma huyo jamaa
Acha banaAtafufukia huko maliasili au mzoga utatoweka
Jamaa zake wanapenda sana mambo ya kienyeji...ndio maana maendeleo yanachelewa. Kazi kulogana tuhata hiyo jmapunda naona ndo walewaleeee