MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

Nimeona video ya mahojiano na dereva boda boda aliyembeba huyo marehemu na mashuhuda possibility ya huyo jàmaa ķuwa alikufa kwa sumu ya nyoka ni kubwa.Maelezo Yao ni tofauti na kinachoandikwa na magazeti.Mashuhuda wanasema huyo jamaa baada ya nyoka kuingia chini ya daraja aliingia na yeye na kuanza kumvuta na nyoka akawa anachoropoka baada ya purukushan,jamaa akaanza kuishiwa nguvu huku anatoa povu na kujikojolea ndipo wananchi wakawahi kumuua nyoka;Magazeti yanatuambia jamaa alikua anaishiwa nguvu kila nyoka anapopigwa
 
Mkuu pia umezidisha utata sasa aliwezaje kumbeba umbali wrote huo akiwa ndani ya mfuko wa koti pasi kumdhuru ? Bwana yule ni nyoka tu
 
Licha ya Komba kuwa emotional na huyo nyoka na uhakika alikuwa na BP ama pia alishikwa na cardiac arrest
 
Kama ulifwatilia. Huu mkasa jamaa kazikwa Jana. Kabla ya kuzikwa nduguze walizinguana vilivyo, wakisema azikwi mpaka aletwe nyoka wake azikwe nae ndio usia aliotoa.

Hali ya mzozano iliendela hadi serikali za mitaa wakaonekana na kusuluhisha ikiwemo kuelezwa nyoka yuko chini ya mamlaka ya serikali kwa sasa kumpata ngumu sana.

Ndipo wakakubaliana azikwe bila nyoka wake.
Atafufukia huko maliasili au mzoga utatoweka
 
Nimeona video ya mahojiano na dereva boda boda aliyembeba huyo marehemu na mashuhuda possibility ya huyo jàmaa ķuwa alikufa kwa sumu ya nyoka ni kubwa.Maelezo Yao ni tofauti na kinachoandikwa na magazeti.Mashuhuda wanasema huyo jamaa baada ya nyoka kuingia chini ya daraja aliingia na yeye na kuanza kumvuta na nyoka akawa anachoropoka baada ya purukushan,jamaa akaanza kuishiwa nguvu huku anatoa povu na kujikojolea ndipo wananchi wakawahi kumuua nyoka;Magazeti yanatuambia jamaa alikua anaishiwa nguvu kila nyoka anapopigwa
huyo nyoka kamuuma huyo jamaa
 
Sumu ya nyoka hubadili rangi ya ngozi je kulikuwa na kitu kama hicho au walau jeraha?
 
mkuu sidhani kama ni hivo tukubali tu, uchawi upo
 
Hapana Sijakimbia Nipo. Nafuatilia hoja nitatoa majibu jumla soon
 
Back
Top Bottom