Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Mkuu rafiki yangu nilisoma nae primary alikwenda teaching college baada ya form four, first appointment alipangiwa huko kusini kwenye mpaka na Mozambique. Tulikutana anafight apate uhamisho kurudi Dar, aliniambia kuna siku aliona nyoka, ameanza kupiga kelele watu wakaambiana aah si nyoka wa Fulani yule, tena huyo Fulani aliitwa aje amchukue nyoka wake, alipokua alimuita na nyoka alimfuata.
Rafiki yangu lile tukio hata kaa alisahau, mwisho wa yote alihama huko.
Rafiki yangu lile tukio hata kaa alisahau, mwisho wa yote alihama huko.