MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

Tanzania tupo vizuri Sana kwenye teknologia yaani MTU unaweza kuconnect mawasiano yko na kiumbe kingine yaani we ze best
 
Boda boda mara nyingi huwa hawana muda wa ku waasses abiria wao.Abiria akifika tu kila mmoja humkimbilia bila angalau kumfanyia spot checking!Bodaboda wamejikuta wakibeba watu wenye mizigo hatari kama vile bhangi,silaha za moto au hata hizo nyara za serikali bila utashi wao.Na mara nyingine huunganishwa kwenye matukio wakati wala hawahusiki kwa lolote.
Nadhani dereva huyu wa pikipiki ama yeboyebo kama zinavyojulikana huko Songea atakuwa amepata somo.Atakuwa makini ku asses abiria au wateja wake.
 
Songea, Kigoma, Sumbawanga.....hili ni jambo la kawaida sana kwao. Wengi wanaofanya hivi yaani kufuga nyaraka za serikali ni wale wanaotafuta utajiri kupitia nguvu za giza.
Bado hatujajua pengine jamaa alikuwa ni msanii...kama wale ambao hucheza na majoka
 
Huyo Komba ni mmanda au mpangwa?
Ndahani,jina lako kama ni la kweli lina mafungamano na kanda ya kati.Ina maana umeshasahau zile taxi zenu za asili hata unataka kutafuta kabila?Huyo jamaa ni Mtanzania.
 
Ndahani,jina lako kama ni la kweli lina mafungamano na kanda ya kati.Ina maana umeshasahau zile taxi zenu za asili hata unataka kutafuta kabila?Huyo jamaa ni Mtanzania.
hata hiyo jmapunda naona ndo walewaleeee
 
Kwa watu watokao sehemu za iringa, njombe, mbeya na songea ni vitu vya kawaida kusikia hela za manyoka, hiyo nyoka ndiyo mpango mzima wa kuleta hela ndani, inafungiwa kwenye chumba special na anayetakiwa kuiona ni muhusika tu, kwa mwezi anaingia chumbani mara moja utaikuta imevimba imejaa hela mpaka mdomoni inazitema na kutoweka, huyo komba ndio alikuwa anatoka kuichukua sasa kuna mashart kakosea, hayo magorofa ya wakinga hapo kariakoo sio mchezo mchezo. Usipoamini nitafute nikupeleke kwa babu Malawi.
 
Na waliomuua nyoka inakuwaje duuh mbona inatisha sana kumbe haya mambo yapo
 
Ndahani,jina lako kama ni la kweli lina mafungamano na kanda ya kati.Ina maana umeshasahau zile taxi zenu za asili hata unataka kutafuta kabila?Huyo jamaa ni Mtanzania.
Taxi za asili ndio pikipiki? Kule Manda bwana ni balaa wewe Mapunda....wanaogelea ziwani
 
Mh...! mambo mengine sijui yanawezaje kufanyiwa utafiti wa kisayansi ili kufahamu uhusiano uliopo kati ya kupigwa kwa nyoka na kuuwawa kwa mmiliki wa nyoka.

Inawezekana alimnunua kwa pesa nyingi hivyo alipata mshtuko wa moyo(stroke). Najua wengi mtasema kuwa ni mambo ya ushirikina!
 
Du aya mambo kumbe yapo kweli. songea mnatisha
Kuna iman zingine ni za kula nyama za watu na kutoa sadaka za mauti nadhan nao tuwaache??? Iman yeyote inayo hatarisha usalama wa jamii nyingine hiyo iman si salama , kama ndivyo tunge waacha wengi sana wafanye watakavyo kwa kigezo cha kuto ingilia imani za watu ndio ndio maana hata magaidi wengine ni sehemu ya ibada kwao kuua je waachwe ili tuheshimu ibada zao?
 
Mkuu unaamini kuna watu wanaweza kuwapatia watu wengine utajiri nje ya kanuni za biashara kama vile mtaji,masoko na management? Kama watu kama hao wapo kwa nini Magufuli asiwachukue wamsaidie katika jitihada zake za kuwapatia watanzania wasio na kipato ajira? Hebu tuache mambo ya kucheza madange kiasi hicho.Hao watu "wagawa utajiri" mbona hawajakodishwa na Donald Trump ili akasaidiwe kuwaongezea Wa-America mapesa?
Kila kitu kina kanuni zake kanuni za uchawi haziko hivyo unavyowaza. Kwa mfano ni sawa na kutaka kusema kuwa kama kuna foleni kubwa kuwe na mechanism ya kufanya magari ipae kwa muda au ipungue upana kuweza kupenya katikati ya magari mengine
 
Kilichomuua huyo jamaa ni shock(mshituko).Ni ile hofu kwamba Madhali Nyoka wake amepigwa hadi kufa ina maana hata yeye angekufa. Hii ni imani aliyojazwa na Mganga wake au na mababu zake au ndugu zake.Hakuna kitu kinaua watu tena bila kuchelewesha kama hofu.Fear is a big depriver of our Lives.Kwa hiyo huyo Komba ameuawa na hofu tu.

Kwa macho na masikio yango niliona na kusikia tukio hilo likiendelea.Nyoka huyo alipigwa na mwenye nyoka alisihii sana asipigwe na baada ya nyoka huyo kufa jamaa alizitokwa na povu mdomo na kufa.lakini cha ajabu zaidi ilipofika mida ya saa kumi na moja jioni kaka wa marehemu alikuja kumtafuta njoka yule na kuuliza kama amekatwa kichwa,alipoambiwa hajakatea kichwa aliomba aonyeshwe huyo nyoka na ndio alipoonyeshwa then akasema kwao wamekataa kuweka msiba kwa sababu wanaamini ndugu yao hajafa na ndipo ndugu yule alipotoa kiroba kidogo dogo na kumchukua nyoka yule then akapanda pikipiki nakuondoka nae...Chaajabu zaidi ilipofika asubuhi inasemekana maiti ya kijana yule iliyolazwa monchwali ya Haspitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma iliyopo songea(Homso)ilipotea na kutoweka monchwali hapo na hakuna anaejua wapi ilipo maiti hiyo.

C& P
 
Back
Top Bottom