MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

huyo aling'atwa sumu ikiwa inamuingia taratibu.
Mwili wake ukifanyiwa autopsy au post-mortem mtuletee majibu hapa.
Kwa hyo uking'atwa na nyoka, nyoka akifa nawe unakufa!! Hapana. Kwa nini asingelegea kabla ya nyoka kuanza kupigwa?
 
Hakuna kitu kama uchawi labda huyo nyoka alishamgonga ndo maana akafa kwa sumu ya taratibu, pia ninavyowajua waendesha bodaboda lazima na yeye alikula mawe na marungu mawili matatu hivi, kama huyo jamaa mchawi si angeroga pesa ikahamia nyumbani kwake
Hakuna mchawi arogae pesa hata siku moja. Nyoka amn'gate halafu aendelee kumkumbatia mfukoni? Hapana.
 
Hakuna mchawi arogae pesa hata siku moja. Nyoka amn'gate halafu aendelee kumkumbatia mfukoni? Hapana.

Sasa kwenye bold wanapata faida gani hasa? Una uhakika gani na kauli yako hiyo? Kuna kitu kinaitwa CHUMA ULETE nafikiri ni uchawi wa kuiba pesa madukani kama sikosei
 
Wapo wanaokufa baada ya wapendwa wao kufariki. Wengi tu
Lakn sio kwa sababu kama hii ,na ni nadra sana kusikia kusikia mtu kafa kwa ajir ya machngu ya ndg au jamaa ake kuaga dunia ,kwa upande wangu sijiwah sikia wala kuona
 
Lakn sio kwa sababu kama hii ,na ni nadra sana kusikia kusikia mtu kafa kwa ajir ya machngu ya ndg au jamaa ake kuaga dunia ,kwa upande wangu sijiwah sikia wala kuona
Ilitokea kwa babu na bibi yangu! Wakipendana sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom