chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,010
Ha ha ha sina uhakikaMkuu, nimeishi huko na ninayokuambia mbona ni kama chai tu kule, yaani si cha hajabu kwa wakazi wa kule. Ukiwa tu pale mjini huwezi kujuwa chochote ila huko vijijini, usisikie. Kuna vituko si kawaida na hicho nilichosema ni cha mtoto. Nimeshaona mtu anaruka na ng'ombe kuja kutua shambani, na hii utabisha? Nakuambia nimeshuhudia.