Kwa sababu alikiwa anajijua kuwa Ana midadi na maisha ya nyokakwanini aliwaonya kabla kua wakimuua nyoka na yeye atakufa?
Kwa sababu alikiwa anajijua kuwa Ana midadi na maisha ya nyokakwanini aliwaonya kabla kua wakimuua nyoka na yeye atakufa?
Nimekuelewa asilimia mia moja!Kwa lugha rahisi sana huyu mmiliki wa nyoka ndg Komba (26) mkazi wa Songea alikuwa na MAHABA. Yawezekana alikuwa anamtegemea sana ktk maisha yake.
Hivyo huyu nyoka alikuwa sehemu ya akili na mwili wa ndg Komba.
Hivyo kitaalamu kilicho muua Komba ni tele-empathy (telempathy), kwa kiswahili ni midadi. Midadi huja pale ambapo mtu amebeda hisia kali juu ya kitu/mtu. Komba alikuwa anamhurumia nyoka wake kiasi kwamba alikuwa anayabeba maumivu ya kipigo cha nyoka.
Nyoka wake alipokufa, Komba akawa amepatwa na maumivu ya kihisia kwa kiasi kikubwa na kupelekea kinga yake kushuka mno.
Pia ktk mwili wake palitokea reactions ambazo ni negative kwa afya na uhai wake ndiyo maana akaanza kutokwa mapovu na hatimaye kifo chake. Kuna Uhusiano Mkubwa Sana Kati Ya Hisia Na Uhai.
Ukiwa muumini wa uchawi, kuyaamini maelezo ya mtoa mada ni mpaka na wewe ushikwe mdadi wa hivyo... KUNA WATU WASHAWAHI KUPIGWA MATEKE NA VICHWA KISA MPIRA WA MIGUUSayansi muda mwingine ni sawa na kuweka mkeka kwa muhindi tu
Huyu ni wewe jamani?Mchawi
........Kama huyu ni wewe naomba nijisalimishe kwako please!Uwezo wako wa kufikiri umeuvundika wapi?Wakuu me nimekaa nikatafakari suala la bwana komba na nyoka wake haijaniingia akilini ety nyoka auawe na mtu afe (hua siamini kama uchawi upo nangojea nirogwe na mm nianze kuamini) huenda huyo nyoka alimng'ata na watu walipoanza kumpiga yule nyoka muda wa sumu kufanya kazi ulikua umefika ila kwann nyoka alimuweka kwenye begi me naweza hisi labda baada ya kung'atwa alitaka ampeleke kwa mganga ili atibiwe maana imani zetu na sisi ni za kipumbavu...................... Nimefikiria hv ili kutolihusishwa lile suala na uchawi ambao me siuamini kabisa
Uwezo wako wa kufikiri umeuvundika wapi?
Umeisha sema huamini uchawi, hapo hapo unasema unahisi labda alikuwa "anaenda kwa mganga wake"
Mtu anayeumwa na Nyoka, huwa anaenda kwa waganga??
Wakuu me nimekaa nikatafakari suala la bwana komba na nyoka wake haijaniingia akilini ety nyoka auawe na mtu afe (hua siamini kama uchawi upo nangojea nirogwe na mm nianze kuamini) huenda huyo nyoka alimng'ata na watu walipoanza kumpiga yule nyoka muda wa sumu kufanya kazi ulikua umefika ila kwann nyoka alimuweka kwenye begi me naweza hisi labda baada ya kung'atwa alitaka ampeleke kwa mganga ili atibiwe maana imani zetu na sisi ni za kipumbavu...................... Nimefikiria hv ili kutolihusishwa lile suala na uchawi ambao me siuamini kabisa
Kila mtu na mawazo yake umewaza vizuri na inawezekana ikawa kweli haya uyasemayo lakini tukiendelea kufuatilia story mpaka mwisho inasemekana eti ila sina uhakika kuwa msibani ndugu hawakuwa na majonzi ya kufiwa na ndugu yao na pia nyoka alizikwa nyumbani utadhani nae ni ndugu wa familia hiyoWakuu me nimekaa nikatafakari suala la bwana komba na nyoka wake haijaniingia akilini ety nyoka auawe na mtu afe (hua siamini kama uchawi upo nangojea nirogwe na mm nianze kuamini) huenda huyo nyoka alimng'ata na watu walipoanza kumpiga yule nyoka muda wa sumu kufanya kazi ulikua umefika ila kwann nyoka alimuweka kwenye begi me naweza hisi labda baada ya kung'atwa alitaka ampeleke kwa mganga ili atibiwe maana imani zetu na sisi ni za kipumbavu...................... Nimefikiria hv ili kutolihusishwa lile suala na uchawi ambao me siuamini kabisa
Muache aongee mada yoyote aitakayo maana story za Faru John zimepigwa marufukuHizi tabia za kuwa mnaanzisha maada ambazo hata hazieleweki sijui mnazitoa wapi?
Halafu nahisi wewe huwa unakula maembe hovyo hovyo kuwa makini kuna kipindu pindu halafu sasa ukiugua wanakutibu ukipona ndani
Kuwa makini
Soon utagundua kuna mazito yanaendelea behind ze sceneWakuu me nimekaa nikatafakari suala la bwana komba na nyoka wake haijaniingia akilini ety nyoka auawe na mtu afe (hua siamini kama uchawi upo nangojea nirogwe na mm nianze kuamini) huenda huyo nyoka alimng'ata na watu walipoanza kumpiga yule nyoka muda wa sumu kufanya kazi ulikua umefika ila kwann nyoka alimuweka kwenye begi me naweza hisi labda baada ya kung'atwa alitaka ampeleke kwa mganga ili atibiwe maana imani zetu na sisi ni za kipumbavu...................... Nimefikiria hv ili kutolihusishwa lile suala na uchawi ambao me siuamini kabisa