Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Sasa kama una malengo naye na huna mpango wa kumchezea, hiyo kupima unapimaje? Na kama ukakuta si vile unataka utaendelea kuwa naye au ndo ushapita ivo?
 
....ni wangapi amewaonjesha buree hapo zamani mpaka sasa?!!
Kwa sasa sina ila nina mke,Hapo zamani nilikuwa niliokuwa nao niliwaita wazinzi wenzangu na wala siyo wachumba wangu,sasa kama nawe unamwandaa awe mzinzi mwenzio na wala sio mke endelea.
 
Hilo nalo ajabu??? Makubwa!!....kweli ukishangaa ya Mussa....
Hivi wataka ufunue watoto za watu halaf uwakimbie loh ....hongera msichana kwa kumkatalia huyu asikuhaaribie maisha
 
Passion lady unajuwaje Kama mtoa mada yuko fit? Anaweza kupiga na mimba isitokee sasa hapo tasa atakuwa nani? Tusipende kujishusha wanawake tutakuwa tunapitiwa kila kukicha na kuachwa tukiendekeza kuduu before ndoa tutaishia kulalama AMKA MWANAMKE JITAMBUE
 
Hilo nalo ajabu??? Makubwa!!....kweli ukishangaa ya Mussa....
Hivi wataka ufunue watoto za watu halaf uwakimbie loh ....hongera msichana kwa kumkatalia huyu asikuhaaribie maisha

kama maisha yake alishaharibu zamani tu kwa hao alioanza nao..mimi nataka nimuweke pazurii mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom