Bundeskanzler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 215
- 49
- Thread starter
- #181
tena anatakiwa amtie mimba kabisa
asijeoa tasa bure!!
safi kabisaa..i wish i could see who you are cuz unamawazo tofauti na wadada wengine!!
tena anatakiwa amtie mimba kabisa
asijeoa tasa bure!!
Passion lady unajuwaje Kama mtoa mada yuko fit? Anaweza kupiga na mimba isitokee sasa hapo tasa atakuwa nani? Tusipende kujishusha wanawake tutakuwa tunapitiwa kila kukicha na kuachwa tukiendekeza kuduu before ndoa tutaishia kulalama AMKA MWANAMKE JITAMBUE
tena hakikisha unamvimbisha na tumbo
kabisa,usijekuta kamgumba, wtt wote kametupia chooni!!
siwezi kuoa mwanamke nisiye mjua kinagaubaga mkuu!!
Maajabu au ndo inavotakiwa?
Binafsi nitaweza kufanya hakuna kusex mpaka ndoa endapo tu msichana ni bikira. Tutaandikishiana makubaliano maalumu. Endapo nitakuta barabara pana kama mandela road, au even iwe nyembamba kama barabara za mbuga za wanyama ndoa basi. Ujinga kumsubiria mwanamke asiye bikra, eti mpaka ndoa.
Umeshindwa kumshawishi kabisa?? Subiri waje wajanja kukufungulia njia
jiongeze utapata utakacho
Basi ndoa yako ni ya misingi uijuayo wewe mwenyewe. Huyo muache katafute mzinifu mwenzio.
Im seeing some interesting development here! Lara 1 Kubwa la maadui, with such a humble & modest comment ???? I never seen a moral conscious Lara 1.......
yeye ndiye size yangu tatizo lake ni hako kauchoyo kake kwangu!!
...not married but you DO IT?!!
Av u ever done it?
done wat?
Morals are morals, even if you dont implement them you should atleast acknowledge you know the what is required of you!Im seeing some interesting development here! Lara 1 Kubwa la maadui, with such a humble & modest comment ???? I never seen a moral conscious Lara 1.......
Hakuna cha uzinifu hapa hata wewe uliyafanya sana haya sasa unataka kujifanya ni mtakatifu si ndio?!!