Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Mkuu kama huwezi kuvumilia naomba namba yake!!
 
ngoja nitajaribu kwenda naye visiwani kama vile mombasa..vijisenti mbuza mbona vipo mkuu!!

mombasa unawatafuta al shabaab? andaa $200 ya kupiga kibiriti single night nenda naye bagamoyo kabla ya yote kwanza unakwenda naye hotel reception for reservation na atajuwa kifuatacho itv usiku muda wa kulala.

ukilaza damu atakutana na kipanga na atambanduwa hata ndani ya siku 3 tu na akimkoleza mashine hiyo ndio kwaheri hatorudi tena kwako.
 
huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
Na wasichana wa siku hizi ukioa bila kuwa kagua kwanza utakuja kuoa majanga na utajuta huko mbeleni!
Asanteni!
mzinifu mkubwa wee! kazi yako kuzini watoto wa watu kwa kisingizio cha ndoa kisha unawabwaga, wamekushtukia.
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!
Ushauri wangu ni huu,nenda dukani wanakouza mikate,waambie unataka kununua mkate ila mnipe slesi moja nionje kwanza
uone majibu yao.mimi nadhani watagoma.Kama mkate wa sh.2000 wanagoma kukuonjesha iweje binti ajishushe thamani
yake chini ya mkate.
Binafsi naamini kama wewe ni muoaji,huyo ndo wa kuoa.
 
....ni wangapi amewaonjesha buree hapo zamani mpaka sasa?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom