Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

kabla sijakushauri,chukulia angekuwa ni dada yako ktongozwa na anakuja kwako umpe ushauri ungemshaurije?
 
Mmezidi kuchezea watoto wa watu, kama hataki usilazimishe. Ungekuwa unampenda usingeona maamuzi yake ni maajabu
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Kwani maandiko ya dini yako takatifu yanasemaje kuhusiana na issue ya mahusiano kabla ya ndoa au mwenzetu mpagani!!!?😳😳
 
Kwani umesikia yeye ni baiskeli ya jirani unaazima kujifunzia!?Oa,huna uwezo tembeza "uhuni" wako kuleee!
 
Maajabu au ndo inavotakiwa?

Kizazi kilichopotoka na kubobea kwenye uovu hicho. Usipofanya uovu kama wao ati wanajifanya kushangaa! Utadhani watu wa Sodoma wakati wa Lutu.
 
if i would be married to her and find things negatively beyong my expectations, that would be my life-long burden mkuu!! think twice!!

Una tamaa tu dogo na si vinginevyo. What is your expectations? Cant you share with her ili akuhakikishie hofu zako?
 
Usifanye kabla ya ndoa ,kama ana hamu mpe rafiki ako amgegede kupunguza hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom