Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Hongera kwake mwache na usimlazimishe ..maana baadhi yenu mlivyowaharibu unaonja na kuchomoka
 
Chunguza kwanza kabla ya kuchukua hatua, inawezekana kweli mtoto wa watu ameweka nadhiri ya kuitunza bikra mpaka ndoa, na vile vile kuna wasanii ambao wanaweza kukubania wewe ili uone msichana wa maana kumbe nje anagawa....
 
Hakuna kitu cha ajabu hapo ila wewe unataka kuendekeza ufusuka tu. Binti ana msimamo mzuri kabisa. utawaonja wangapi kabla ya kufikia uamuzi wa kuoa. Mungu ameagiza USIZINI. Oa kwanza ndipo hilo tendo liwe halali.

nitaonja to the point when i get the right one...yeye kaonjwa na wangapi mpaka sasa?!!
 
kombe la dunia la mwaka huu hatushabikii chenga/pasi....kinachoshabikiwa ni maGOLI tuuuu...piga ua ni ushindi mbwembwe baadae
 
Morals are morals, even if you dont implement them you should atleast acknowledge you know the what is required of you!

its ridiculous when you know the right path but you cant go for it!
 
Kuyafanya au kutoyanya ni kati yangu na Mola wangu ! Don't tell me u won't do right just because most of the society does wrong? What a stupid excuse. How you choose and get your mate directly impacts on the kind of family you will have that includes kids. We were created for a purpose fyi life is not one big party. Start thinking with your brain not your dick.

So why preaching the gospel which you cant practice?
 
Hongera kwake mwache na usimlazimishe ..maana baadhi yenu mlivyowaharibu unaonja na kuchomoka

hao waliionjwa wakakimbiwa unakuta wengi hawakukutwa wakiwa na mandhari nzuri huko chini walijiharibu kwa abortions!
 
ki-ukweli huyo mwanamke ndiye mwanamke jasiri...ambaye ni mfano wa kuigwa...aendelee na msimamo wake....na hicho ndicho kipimo kuwa anakupenda....wewe ulishawajaribu wengi..na wote uliwaingia kwa gia hiyo hiyo ya kusema utamuoa...alafu baadae ukawamwaga na sasa umerukia kwa huyo mdada..ulidhani nae utampata kwa gia hiyo..hapo umekwaa kisiki ndugu....dada kaza buti...tena aking'ang'ania mpe kadi nyekundu...wanaume wanopenda wenye msimamo kama wako tupo wengi tu....
 
So why preaching the gospel which you cant practice?

I meant that you can't know if I practice what I preach or not. Jiamini kaka wacha maamuzi ya kufuata mkumbo. Mwisho wa siku mke atakuwa wako mwenyewe! Your dick will surely mislead you. Use your head.
 
ki-ukweli huyo mwanamke ndiye mwanamke jasiri...ambaye ni mfano wa kuigwa...aendelee na msimamo wake....na hicho ndicho kipimo kuwa anakupenda....wewe ulishawajaribu wengi..na wote uliwaingia kwa gia hiyo hiyo ya kusema utamuoa...alafu baadae ukawamwaga na sasa umerukia kwa huyo mdada..ulidhani nae utampata kwa gia hiyo..hapo umekwaa kisiki ndugu....dada kaza buti...tena aking'ang'ania mpe kadi nyekundu...wanaume wanopenda wenye msimamo kama wako tupo wengi tu....

huo ni unafiki tu!
 
I meant that you can't know if I practice what I preach or not. Jiamini kaka wacha maamuzi ya kufuata mkumbo. Mwisho wa siku mke atakuwa wako mwenyewe! Your dick will surely mislead you. Use your head.

hawa wa siku hizi wengi walishajiharibu huko zamani so lazima ni test kwanzaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom