Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

mzinifu mkubwa wee! kazi yako kuzini watoto wa watu kwa kisingizio cha ndoa kisha unawabwaga, wamekushtukia.

inaonekana yaliwahi kukukuta kisha wakakukimbia...the past still haunts you down!!
 
mombasa unawatafuta al shabaab? andaa $200 ya kupiga kibiriti single night nenda naye bagamoyo kabla ya yote kwanza unakwenda naye hotel reception for reservation na atajuwa kifuatacho itv usiku muda wa kulala.

ukilaza damu atakutana na kipanga na atambanduwa hata ndani ya siku 3 tu na akimkoleza mashine hiyo ndio kwaheri hatorudi tena kwako.

hahaaa...yani kwa ufafanuzi wako tu inaonekana wewe ni mchepukaji sana mkuu!!
 
what a gud girl... safi sana.
we kama huwezi kusubiri mwache, by the way una haraka ya nini??
 
Piga mzee usipopiga mjanja akipata nafasi akapiga ndo ivo unapigwa chini nina mfano jamaa alisubiri mjanja kamyang'anya
 
what a gud girl... safi sana.
we kama huwezi kusubiri mwache, by the way una haraka ya nini??

hata kama nitamsubiri kwa miaka miwili ijayo ni lazima anionjeshe kwanza kabla ya kumove forward kwa next stage..sawa?!!
 
sasa kama nimezidiwa nitumie tena sabuni na ukubwa wote huu na wewe?!!

Utafanyaje sasa mchumba ushampata na anazijua amri za Mungu.Mungu akupe nini tena, au unataka wale wa kutongoza mchana jioni mnavunja amri?
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Huyo ndo anajua hasa discipline na atakuja kuwa mke bora kwako kaka. Zinaa si kitu kizuri na ndoa ni katika ibada kubwa na muhimu. Huo hasa ndo utaratibu muenzi na umpe heshima yake.
 
Maajabu ofcoz, tangu lini ukaoa mwanamke ambaye humjui??? Lazima umjue kindani ndani kwanza.

Mkuu Bundeskanzler piga chini huyo, sio wife material.

hahahahaaa...asante sana mkuu kwa ushauri wako...jina lako limenichekesha sanaa sijui ni la brazil au kindengereko!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ndo anajua hasa discipline na atakuja kuwa mke bora kwako kaka. Zinaa si kitu kizuri na ndoa ni katika ibada kubwa na muhimu. Huo hasa ndo utaratibu muenzi na umpe heshima yake.

siwezi kuoa mwanamke nisiye mjua kinagaubaga mkuu!!
 
Utafanyaje sasa mchumba ushampata na anazijua amri za Mungu.Mungu akupe nini tena, au unataka wale wa kutongoza mchana jioni mnavunja amri?

Kukataa kufanya hakumaanishi ndio eti anamjua Mungu...wasichana wa type yake ndio huwa wachepukaji balaa...i dont trust her that much mkuu!!
 
Hivi muanzilishi wa shake well before use ni nani?

Vijana wa sasa tumeharibika aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom