Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

nina mashaka na upendo ulionao kwake... iv mtu unayependa unaweza kumuanzishia majadiliano ya namna iyo kweli jamani... ..... umuache mtu kisa amekataa kufanya mapenzi..ama kweli upendo sikuhiz hakuna
 
Eti mambo ya kawaida sana, ha ha ha ha

sasa wewe badala ya kumfundisha swaga za kumvuwa chupi unamcheka tenaa? muulize kwanza huwa anamletea vizawadi na kumtowa out za ukweli?

hivi mwanaume unashindwa hata kubuni safari ya single night bagamoyo? asivuwe chupi yeye nani?
 
Nyinyi mnaosema atakuwa mke halisi, kwa mantiki gani? Kumnyima papuchi kwenye uchumba ndo kipimo cha mke bora?

Mkuu huyo bado mtoto, nnavoona. Au la, ni mshika dini hatari. La sivyo, anajaribu kucheza na akili yako ili uwahishe ndoa. Mi ningeendelea nae huku napiga kwingine hata kwa miaka. Mwisho wa siku atajishtukia tu.
 
If tht wud be the case sidhan ka most Galz wa siku hz wangekuwa wameolewa!! Coz wengi washakuwa used!!
Anaweza akawa ameyafanya sana hayo but maybe ameamua Au amejeiwekea promise kuwa hataki kufanya tena yale aliyoyafanya mwanzo as she have learned from her mistake.... She want something real sth serious so its better you understand her
Or better still, kaa nae chin mfanye rafiki ili akwambie kwann anakuwa Na huo msimamo kuliko kuwa unamseduce halafu anakukata stim....
Huo ni mtazamo wangu....

wengi huwa ni pretenders iliwaweze kujijengea mazingira ya kuolewa!!
 
Aiseee komaaa akupe zigo kama hataki potezea, huyo anajifanya tu umuone ni mgumu kutoa usije kumuona malaya kuwa alikuwa anagawa. its just the way to build her faith to you.Maake ukilala nae sa hizi unaweza kuta ovyo ukasepa.
 
Nyinyi mnaosema atakuwa mke halisi, kwa mantiki gani? Kumnyima papuchi kwenye uchumba ndo kipimo cha mke bora?

Mkuu huyo bado mtoto, nnavoona. Au la, ni mshika dini hatari. La sivyo, anajaribu kucheza na akili yako ili uwahishe ndoa. Mi ningeendelea nae huku napiga kwingine hata kwa miaka. Mwisho wa siku atajishtukia tu.

inawezekana yeye anachepuka sanaa ila mimi ananiwekea usiku?!!
 

usikubali utauziwa mbuzi
kwny gunia,ana kasoro huyo yakheee
anaogopa utatoka nduki!!
 
Aiseee komaaa akupe zigo kama hataki potezea, huyo anajifanya tu umuone ni mgumu kutoa usije kumuona malaya kuwa alikuwa anagawa. its just the way to build her faith to you.Maake ukilala nae sa hizi unaweza kuta ovyo ukasepa.

na huo ndio msimamo wangu...bila kunipa nionje hakuna ndoa ata afanye nini.
 
sasa wewe badala ya kumfundisha swaga za kumvuwa chupi unamcheka tenaa? muulize kwanza huwa anamletea vizawadi na kumtowa out za ukweli?

hivi mwanaume unashindwa hata kubuni safari ya single night bagamoyo? asivuwe chupi yeye nani?

mkuu nimetumia mbinu nyingi sana aisee kama vile kwenda nae zenji ila anashtukia mchongo anachomoa na kwa upande wa zawadi ndio ninajitahidi sana...she is a nice lady tatizo lake ni hilo tu baaaas!!
 
Huyo kwel mjanja, ni wasichana wachache wanaoweza kufanya hivyo kwa dunia ya leo. Ushauri wangu:Kama vp achana naye huyo hakufai, anahitaji wavumilivu wenzake. Naomba namba zake za simu tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom