Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Kweli unalosema.. ila pale utakapo kuwa joka la 9" sijui utaomba talaka. Uamuzi sahihi ni jaribu gari lako kabla ya safari.
 
hayo mambo ndo yanamshinda rafiki yangu,,,kaoa juzi-juzi tu hapa hata mwaka haujaisha kaanza kuchepuka, tena mbaya zaidi anachepukia kwa ma-X wake,,,,sisi kama marafiki bila kupanga kwamba tumshauri kuhusa tabia yake, ila jumapili iliyopita tulikuwa maeneo kujiliwaza kidogo, ghafla mshikaji akaichomekea ile mada na wote tukaidakia, kutokana namashambulizi kuwa makali sana jamaa akafunguka bwana,,, "mke wangu nikimwambia akatike anakatika tumbo badala ya kiuno sasa mimi siridhiki bwana"....ikabidi tucheke tu maaana ilikuwa kama aibu vile!
 
..kumbe ndio maana ukapotea hata sijakuona....
..jamaa naona atesti kwanza kuangalia Kama bado mayai hapo,lolz..

vipi shemeji.!!!

safi shemeji yangu,mi ilikua hivyo
sikutaka kumuuzia nduguyo
mbuzi kwny gunia,akatest kwanza!
 
Passion lady unajuwaje Kama mtoa mada yuko fit? Anaweza kupiga na mimba isitokee sasa hapo tasa atakuwa nani? Tusipende kujishusha wanawake tutakuwa tunapitiwa kila kukicha na kuachwa tukiendekeza kuduu before ndoa tutaishia kulalama AMKA MWANAMKE JITAMBUE

Santeeeee kwa jicomment la ukwelii bi shosti!!
 
hayo mambo ndo yanamshinda rafiki yangu,,,kaoa juzi-juzi tu hapa hata mwaka haujaisha kaanza kuchepuka, tena mbaya zaidi anachepukia kwa ma-X wake,,,,sisi kama marafiki bila kupanga kwamba tumshauri kuhusa tabia yake, ila jumapili iliyopita tulikuwa maeneo kujiliwaza kidogo, ghafla mshikaji akaichomekea ile mada na wote tukaidakia, kutokana namashambulizi kuwa makali sana jamaa akafunguka bwana,,, "mke wangu nikimwambia akatike anakatika tumbo badala ya kiuno sasa mimi siridhiki bwana"....ikabidi tucheke tu maaana ilikuwa kama aibu vile!

Ha ha haaaaaaaaaaa hii kali ya mwaka
 
C kila ununuacho lazma utest vngne vipo kamili kamili tu. Mfano nyembe haijaribiwi, kuzini hakujaribiwi. Huna nia unaada
 
hayo mambo ndo yanamshinda rafiki yangu,,,kaoa juzi-juzi tu hapa hata mwaka haujaisha kaanza kuchepuka, tena mbaya zaidi anachepukia kwa ma-X wake,,,,sisi kama marafiki bila kupanga kwamba tumshauri kuhusa tabia yake, ila jumapili iliyopita tulikuwa maeneo kujiliwaza kidogo, ghafla mshikaji akaichomekea ile mada na wote tukaidakia, kutokana namashambulizi kuwa makali sana jamaa akafunguka bwana,,, "mke wangu nikimwambia akatike anakatika tumbo badala ya kiuno sasa mimi siridhiki bwana"....ikabidi tucheke tu maaana ilikuwa kama aibu vile!
Hizi ndoa mnafunga siku hizi hiiiiiiizi!
 
hahaa! we acha tu yaani leo nimepitia kwake sio siri nilivyomuona shemeji niligugumia na kicheko,,,khaaaa haya mambo ya kuziana mbuzi kwenye gunia mimi hapana kwa kweli
maskini binti wa watu!
 
Fanya uchunguzi wa kina juu yake yukoje tangu akiwa shuleni, nyumbani, mtaani na kwingineko kisha utajua cha kufanya.

Tabia ya mtu haifichiki labda ugenini tena kwa siku chache.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom