hata kuwa na malengo ya kumuoa nayo ni kumuheshimu sana tu mbona...wangapi wamemgusa then wakamtema bwanaa!!
ukimkuta bikra siku mkifunga ndoa???
hata kuwa na malengo ya kumuoa nayo ni kumuheshimu sana tu mbona...wangapi wamemgusa then wakamtema bwanaa!!
ukimkuta bikra siku mkifunga ndoa???
ni mpaka uoe kama hutaki achana na mtoto wa watu
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.
Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.
Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!
Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!
Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?
Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!
Unamwowa kwa ajili ya umbile lake la chini alivyokaa au unampenda awe mkeo kwa jinsi alivyo kitabia kama nikwaajili ya kufanya mapenzi ndiyo maana unaowa basi nenda katafute wanaouza miili yao hapo utapata yakila aina nawala huna sababu yakuowa maana Ipo siku itakuchosha ya mkeo utakuja na majanga kwenye familia yako na hii ni kwa wote wenyekudhani kuwa kabla yakuowa lazima ufanye naye mapenzi kwanza nimawazo yakipumbafu natamaa za ngono chafu
Hapa hakuna mwoaji zaidi anataka kuwajaza ujinga wadada wanaojiheshimu waanze kufanya mapenzi kabla ya ndoa. Dada zangu kama yupo ambaye hajafanya ujinga huu basi jitunze subiri ndoa upate raha ya ndoa nasi upate fedhea kwenye jamii kuhesabiwa wangapi wamekuvua chupi
huyu dogo anaonekana ni muhuni sanaa...hii dunia bwana atamfundisha tu one day!!!!!
Kwa hiyo mkuu nimekuelewa vizuri wewe unataka umkute bikra na zaidi ya hapo abebe mimba kabla ya kutoa mahari au?
Asante..Maajabu au ndo inavotakiwa?
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.
Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.
Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!
Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!
Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?
Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!
Nakuunga Mkono,kama hataki kunifunulia nione kwanza na mimi ninamtupa kulee...siwezi kufanya mambo ya kubahatisha aisee...chezea mabinti wa mujini wewe!!!