Bundeskanzler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 215
- 49
- Thread starter
- #381
Bado vijana wengi hawajui 7bu za kuoa! Anyway ndoa ni zaid ya ngono unayofikiria! take care
thanks!!!
Bado vijana wengi hawajui 7bu za kuoa! Anyway ndoa ni zaid ya ngono unayofikiria! take care
We bazazi em muache mtoto wa watu..unajijua kabisa ukishamfunua kwisha habari yake
Ungelalamika kama angekataa kwenda kupima, na inawezekana ana wasiwasi na wewe mshauri mkapime mpate utulivu wa kweli.
Nakuunga Mkono,
Anaweza kua SHEMALE!!
hii thread imejaa unafiki mwingi sana!!
wewe pita tu mkuu!!
Wachangiaji wengi humu walianza ku-sex na wake/waume zao kabla ya Ndoa, lakini hapa ndio wa kwanza kumtupia mawe mleta hoja, typically unafiki!!hii thread imejaa unafiki mwingi sana!!
hivi huyo binti kwao wanakufahamu....?
Ajabu sio wewe kumtaka kabla ya ndoa? Hivi dunia bado inazunguka jua in 24 hours kweli? Manake nahisi kama inageuka kwa haraka sana kiasi kwamba watu wanalazimisha kuvunja sheria kuwe halali....
Wachangiaji wengi humu walianza ku-sex na wake/waume zao kabla ya Ndoa, lakini hapa ndio wa kwanza kumtupia mawe mleta hoja, typically unafiki!!
It is too early for them to get to know me...but when that damn time comes i would let them to...sawa mkuu?!!
sasa mkuu nawe you have to wait.....
Huyu amegoma kuonjwa na wewe, hivyo tafuta wengine wa kuonja. Kumbuka mchagua nazi mwisho hupata korama.nitaonja to the point when i get the right one...yeye kaonjwa na wangapi mpaka sasa?!!
usiporomoshe matusi sasa kuwa mstaarabu mkuu!!!