Bundeskanzler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 215
- 49
- Thread starter
- #421
Sasa ukikuta kiwango kiko sawa. Na yeye akikuta kibamia si itakuwa balaa msifikirie nyie wanaume ndio wakuridhishwa tu hata sisi wanawake tunaviwango vyetu mbona ukinunua gari mpya huombi kujaribu mtangulize mungu aliyotaka kama unataka mafanikio
akikuta mimi kibamia si ndio nitakuwa nimemsaidia yeye sasa kuliko kuingia mkenge!!!!