Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Hadi nikakueleza msimamo wangu kimapenzi ina maana nlikuwa nimekupenda....kitendo cha wewe kusepa ulinidhulumu kwa nini usingenivumilia kama kweli ulinipenda?

Kwa sababu sikutaka kukuumiza, kukusaliti hivyo nikaona bora nikuache nikatafute anayeendana na matakwa yangu. Kumbuka mimi nimezoea kukutana na wanawake tofauti tangu nina miaka 16..siwezi kuvumulia eti kisa nakupenda.
 
Kama ulishindwa kunivumilia katika hilo linalozungumzika ungenivumilia vipi kwa mapungufu yangu mengine? Bora ulisepa mapema
 
Maisha ya ndoa ni zaidi ya tendo lenyewe la ndo.. Tendo la ndoa ni sehem tu ya maisha ya ndoa..
 
kama una mpango wa kumoa kweli basi vumilia na ndo kitakuwa kipimo kizuri sana cha ustahimilivu katika ndoa yenu baadaye kwa kuwa kuoa/kuolewa(ndoa) siyo ku do tu, kwa mfano mkisha kuwa na familia ku do pia kunapungua sana tu hasa kwa wanawake walio wengi (si wote) sasa hapo kama unaweka sana mbele ku do nae ndo yenu itakuwa na migogolo sana. Lakini pia miezi minne si mingi mkuu, mimi kwa mfano na wife tumekuja ku do siku fungate baada ya miaka sita urafiki hatimaye uchumba, (nilijitahidi kuwa mvumilivu kwa kuwa ni msichana nilimuona ana misimamo ya kweli na anafaa kuwa mke
 
[/B]

Kama ulishindwa kunivumilia katika hilo linalozungumzika ungenivumilia vipi kwa mapungufu yangu mengine? Bora ulisepa mapema

..but am still revolving around..
I'll be your guest very soon..!!..teh!
 
kama una mpango wa kumoa kweli basi vumilia na ndo kitakuwa kipimo kizuri sana cha ustahimilivu katika ndoa yenu baadaye kwa kuwa kuoa/kuolewa(ndoa) siyo ku do tu, kwa mfano mkisha kuwa na familia ku do pia kunapungua sana tu hasa kwa wanawake walio wengi (si wote) sasa hapo kama unaweka sana mbele ku do nae ndo yenu itakuwa na migogolo sana. Lakini pia miezi minne si mingi mkuu, mimi kwa mfano na wife tumekuja ku do siku fungate baada ya miaka sita urafiki hatimaye uchumba, (nilijitahidi kuwa mvumilivu kwa kuwa ni msichana nilimuona ana misimamo ya kweli na anafaa kuwa mke

Kwa ajili ya kuogopa kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia!!
 
What is wrong and what is right? Ethics aint universal!! Morals are subject to change with time, place and situation. Be open minded.
Open minded or damn right stupid. Mzinifu atamuoa mzinifu mwenzie.
 
sex is just a part of love sio lazima kiivo kama wewe huwezi vumilia mpaka ndoa waachie wenzako wenye uvumilivu wao,hujawaza raha utayokua nayo kukuta mkeo hajaguswa na mapapa wa mjini?
 
mkuu huyu mwanamke nina malengo nae tena ya muda mrefu sanaa tatizo lake ni hapo hataki mkemia mkuu nithibitishe kiwango chake!

Vijana wa siku hizi bwana naona roho ya uzinzi inawasumbua sana, huo ndo utaratibu mzuri na sio uharibifu unaotaka kumfanyia. Safi sana binti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom