Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Mh!! umeuliza swali ..na inaonyesha roho wa bwana alikuongoza hapo hapo ukapata na jibu na ukajijibu wewe mwenyewe.Hongera. Listen to your own guts.

.....
.
But kosa lako ni pale kumtongoza kwa mbinu ya kumwahidi kumwoa.....,mpaka ukaandika kuomba ushauri na kwa tabia nizijuazo za watoto wa dot.com mh! ..pengine havutiwi na wewe
.
 
Na ww ukishamtumia mtoto wa mwenzio unataka ukabambikizie wanaume wenzio?

sasa kama aliuharibu mwanzo wake atakuwa tu ni godoro la kulalia na kutupwa tu...ila nikimkuta kajiheshimu na hajajiaribu mimi nitamuoa moja kwa moja!!
 
Waongo hao huwa ni vicheche sana kwako ah!mungu hapendi ni dhambi mnafiki mchunguze vizuri.nasema ivi yameshanikuta.

pole sana kwa kuwa mhanga mkuu na nitajifunza kutokana na makosa yako kamanda....hawa viumbe sio wa kuwaamini hata kidogo aisee!!
 
Mh!! umeuliza swali ..na inaonyesha roho wa bwana alikuongoza hapo hapo ukapata na jibu na ukajijibu wewe mwenyewe.Hongera. Listen to your own guts.

.....
.
But kosa lako ni pale kumtongoza kwa mbinu ya kumwahidi kumwoa.....,mpaka ukaandika kuomba ushauri na kwa tabia nizijuazo za watoto wa dot.com mh! ..pengine havutiwi na wewe
.

hata mimi ninafikiri hanipendi mkuu ndio maana analeta mashauzi mengi!!
 
Umejuaje,wakati wewe uinalalamika amekunyima?
Na kama umeambiwa aliwahi kutembea na wengine,basi anajifunza kusema NO kuanzia kwako nakuendelea.

kama wewe ni she inawezekana uliolewa kwa kumuingiza mtu mkenge!!
 
Na msingekua mnawaonjaonja hivo mbona kusinge kua na hayo majanga.
Majanga mnasababisha wenyewe. Unamwanzishia dada wa watu unamwacha then who will mrry her?
Wanaume ifi mahala mubadilike jamani. Huyo unaemtest nani atakaye muoa?
Atatestiwa na wangapi?

kiutaratibu ilibidi huyo aliyelala naye kwa mara ya kwanza ndio amuoe...sasa kama yeye anauhakika hajajiaribu ndio hivyo anioneshe nisipoteze mahari yangu buree.
 
Kwani lazima umuonje? Heshimu maamuzi yake kama unampenda kweli.
 
Wacha kujitoa kijana kwenye hizi statement zako..wewe ni mmoja wa hao waharibifu.
Ukisema alijiharibu unamaanisha nn?? Ana uwezo yy ya kujiharibu asipokutana na waharibifu km nyinyi...

sasa nikimuoa then nikakuta yupo used sanaa na alikwisha abort na sasa hana uwezo wa kuzaa tena nitamlilia nani mimi?!!
 
Kwani lazima umuonje? Heshimu maamuzi yake kama unampenda kweli.

sasa nikimuoa then nikakuta yupo used sanaa na alikwisha abort na sasa hana uwezo wa kuzaa tena nitamlilia nani mimi?!!
 
Dogo kumbe huna issue, humpendi kikweli.

mapenzi hayaji kwa kumuangalia mtu usoni!! sasa nikimpenda nikamuoa kisha nikakuta alishaharibiwa kitambo sana nitamlilia nani mkuu...nyie mbona ni wagumu kuelewa hivi jamaniii...duuuh!!!!!!
 
sasa nikimuoa then nikakuta yupo used sanaa na alikwisha abort na sasa hana uwezo wa kuzaa tena nitamlilia nani mimi?!!
Usiwe na mawazo ya hivyo. Kama hofu yako ni hiyo basi mmwage na tafuta mwingine ambaye utamtumia utakavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom