Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Hakuna kitu cha ajabu hapo ila wewe unataka kuendekeza ufusuka tu. Binti ana msimamo mzuri kabisa. utawaonja wangapi kabla ya kufikia uamuzi wa kuoa. Mungu ameagiza USIZINI. Oa kwanza ndipo hilo tendo liwe halali.

Una uhakika ana amini Mungu unayemzungumzia?
 
Haumpendi huyo dada bali mashetani yanayokutumia kwenye kazi zao ndio wanaoona wivu huyo dada alivyo mpole,mkarimu na mwenye msimamo wanataka kufanikisha kazi yao kupitia wewe. So please leave her alone,wewe sio wake,atapata atakayemthamini na kumuamini.
 
haya ni maajabu
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!
 
..hivi mzazi mwenye binti kuanzia 12yrs akisoma uzi kama huu anajisikiaje??
 
imenishangaza sana yaani unataka kuvaa kiatu ili kikutoshe utavaa viatu vingapi kwa ulimwengu huu ili vikutoshe vyote

umenishangaza sana bestito huyo binti ana msimamo tungewapata mabinti 10 kama hao dunia ingebadilika
kama umeona hakupi ihicho kiatu huyo binti achana naye usijemchafua bure binti wa watu wakati amejiheshimu, kaheshimu Mungu na familia kiujumla wewe ulitaka ULAMBE NA KUANZISHA KITANDA LALA bila hata haya!!!!!!!! uoni sooo best huyo binti ni mwaminifu hataki kuchafua hekalu la Mungu kwa tamaa zako kama umeona hakukpi muache kuliko kumsakama na kumheneza jamvini hapa
 
atajisikia vibaya sana yaani vijana wameharibikiwa kaibisa mm mwenyewe nimesononeka sana sikutegemea kijana kama huyu alete uzii huu hapa sijui kafikiria nini eti anatuomba ushauri kuna cha kushauri hapa jamani!!!!!1 dunia imeharibika
..hivi mzazi mwenye binti kuanzia 12yrs akisoma uzi kama huu anajisikiaje??
 
Ww unasema hutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.je na yy haogopi kukuta kibamia au mguu wa mtt!!! Michepuko wote itawahusi.kiukweli siku hizi wengi wanaonja kwanza tuache utani

asante kwa kukubaliana nami!!
 
atajisikia vibaya sana yaani vijana wameharibikiwa kaibisa mm mwenyewe nimesononeka sana sikutegemea kijana kama huyu alete uzii huu hapa sijui kafikiria nini eti anatuomba ushauri kuna cha kushauri hapa jamani!!!!!1 dunia imeharibika

sasa ni kipi kibaya kitakacho msononesha huyo mzazi wa binti wa kidato cha sita?!! hakuna cha ajabu humu na hata kabla hajasononeka ajitazame kwanza yeye!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom