Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,276
Wot shez refusing to do?
tehe tehe tehe tehe yes i av ever done it
Wot shez refusing to do?
Ndicho alichochagua....we ni nani hata uone chaguo lake ni unafiki?
tehe tehe tehe tehe yes i av ever done it
kwa nini ajifanye ni msafi wakati ninamjua alivyo?!!
Unamjuaje? Kuwa huwa hana masharti hiyo kwa wengine ama?.....what if alifanya utakavyo kwa waliopita akaona Hakuna la maana na kaamua vinginevyo sasa?
hahahahahaha..!! au ni musee wa ki-bamia nin???Ukianza kupiga mabao utajisahau
Usikubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia hayo ndo yanasababisha michepuko baadae onja kwanza ukiridhika na na mshono hutahitaji kufumua malinda
tehe tehe tehe tehe yes i av ever done it
Kwa hiyo unachomaanisha ni kwamba alifanya atakavyo huko nyuma then hao aliokuwa nao wamemchakaza mimi ndio nichukue kitu used si ndio?!! kama yupo sealed anionyeshe nione sasa kama anajiamini kweli.
Usikubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia hayo ndo yanasababisha michepuko baadae onja kwanza ukiridhika na na mshono hutahitaji kufumua malinda
hata kama nitamsubiri kwa miaka miwili ijayo ni lazima anionjeshe kwanza kabla ya kumove forward kwa next stage..sawa?!!
mwe mwe mwe mweeeeeee nampongeza sana huyo mdada looo,huyo ndio wifeeeeee maana akijaribu tu kutanua paja amekwisha huwa hawaoi,anajua nn maana ya ndoa ni kutokudooo
kumbaka never never!
Toka huko
nitoke nini tena kwi kwi kwi kwi
Ushauri wangu ni huu,nenda dukani wanakouza mikate,waambie unataka kununua mkate ila mnipe slesi moja nionje kwanza
uone majibu yao.mimi nadhani watagoma.Kama mkate wa sh.2000 wanagoma kukuonjesha iweje binti ajishushe thamani
yake chini ya mkate.
Binafsi naamini kama wewe ni muoaji,huyo ndo wa kuoa.
Kuyafanya au kutoyanya ni kati yangu na Mola wangu ! Don't tell me u won't do right just because most of the society does wrong? What a stupid excuse. How you choose and get your mate directly impacts on the kind of family you will have that includes kids. We were created for a purpose fyi life is not one big party. Start thinking with your brain not your dick.