Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

mwallu, nisiporidhika ninambwaga kama hawapendi kubwagwa lazima wajitunze kuanzia sasa!!

Mkuu, Kuna vitu mtu anaweza kufanya wakati wa ujana/adolescence na kuja kujuta akipevuka zaidi kifikra. Hata wewe Kuna mambo ulifanya ukiwa 18yrs na unatamani ungepewa nafasi nyingine ili ubadilishe.

..hata katika maamuzi ya kujihusisha na mapenzi ndio hivyo pia. Wengi tulianza mahusiano bila kujiuliza au hata kujua madhara yake baadae, tunakuja kujitambua baadae kidogo, na japo ndio tunaamua kufanya maamuzi sahihi.

Kwa binti kuamua kuacha kujihusisha na ngono kabla ya ndoa, haijalishi amelala na wangapi, bikra au sio..ni kujitambua na kuamua kufanya uamuzi sahihi kwa mtazamo wake...
 
imenishangaza sana yaani unataka kuvaa kiatu ili kikutoshe utavaa viatu vingapi kwa ulimwengu huu ili vikutoshe vyote

umenishangaza sana bestito huyo binti ana msimamo tungewapata mabinti 10 kama hao dunia ingebadilika
kama umeona hakupi ihicho kiatu huyo binti achana naye usijemchafua bure binti wa watu wakati amejiheshimu, kaheshimu Mungu na familia kiujumla wewe ulitaka ULAMBE NA KUANZISHA KITANDA LALA bila hata haya!!!!!!!! uoni sooo best huyo binti ni mwaminifu hataki kuchafua hekalu la Mungu kwa tamaa zako kama umeona hakukpi muache kuliko kumsakama na kumheneza jamvini hapa

wewe unamjua huyo binti mwenyewe au unabwabwaja tu?!!
 
Hizi ndio dalili za siku za mwisho....Haramu ndio inakua halali na halali inakua haramu....Kama mdogo wako angelikua anaelazimishwa kuingiliwa kabla kuolewa je ungelikubali?...Ok dada yako tumeenda mbali...tuseme shangazi yako?...ah samahani shangazi anauma sana!....Bora tuweke mama yako!...mku samahani kwa kukutukana...bora tuseme Binti yako ambae umemzaa!...chagua yoyote kati ya hao ambao utaridhia watu wamuingilie kabla kumuoa.....Kua na Adabu we kijana
 
haumpendi huyo dada bali mashetani yanayokutumia kwenye kazi zao ndio wanaoona wivu huyo dada alivyo mpole,mkarimu na mwenye msimamo wanataka kufanikisha kazi yao kupitia wewe. So please leave her alone,wewe sio wake,atapata atakayemthamini na kumuamini.

na wasichana wa siku hizi ukioa bila kuwa kagua kwanza utakuja kuoa majanga na utajuta huko mbeleni!
 
Hizi ndio dalili za siku za mwisho....Haramu ndio inakua halali na halali inakua haramu....Kama mdogo wako angelikua anaelazimishwa kuingiliwa kabla kuolewa je ungelikubali?...Ok dada yako tumeenda mbali...tuseme shangazi yako?...ah samahani shangazi anauma sana!....Bora tuweke mama yako!...mku samahani kwa kukutukana...bora tuseme Binti yako ambae umemzaa!...chagua yoyote kati ya hao ambao utaridhia watu wamuingilie kabla kumuoa.....Kua na Adabu we kijana

Hayo ni maamuzi binafsi ya mtu and i have nothing to do about!!
 
Mkuu, Kuna vitu mtu anaweza kufanya wakati wa ujana/adolescence na kuja kujuta akipevuka zaidi kifikra. Hata wewe Kuna mambo ulifanya ukiwa 18yrs na unatamani ungepewa nafasi nyingine ili ubadilishe.

..hata katika maamuzi ya kujihusisha na mapenzi ndio hivyo pia. Wengi tulianza mahusiano bila kujiuliza au hata kujua madhara yake baadae, tunakuja kujitambua baadae kidogo, na japo ndio tunaamua kufanya maamuzi sahihi.

Kwa binti kuamua kuacha kujihusisha na ngono kabla ya ndoa, haijalishi amelala na wangapi, bikra au sio..ni kujitambua na kuamua kufanya uamuzi sahihi kwa mtazamo wake...

wewe binafsi unaweza kuoa mwanamke kabla ya kulala naye?!!
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Kuna mshikaji mmoja alikujaga kijiweni/maskani akawa analalamika sana, eti wife wake ana "K" ya ajabu na ina sura mbaya kiasi kwamba eti yeye ni mpenda kwenda chumvini lakini kwa wife wake kila akijaribu anatapika.

Tulimshangaa sana inakuaje analalamika hivyo wakati mwanamke ni wife wake wa ndoa, mshikaji akadai alioa kwanza kabla ya kuanza kula mzigo!! Hii inaweza kua sababu pia kwa huyo demu wako.

Sababu ya pili inaweza kua demu wako kitandani mvivu sana (gogo) a.k.a mautunduless. Huyu anahisi ukimuonja tu ukagundua kua hajitumi ipasavyo basi utamuacha kwenye mataa.

Sababu ya tatu inaweza kua kashadanganywa sana na wanaume huko alikotoka hivyo hataki kuendelea kudanganywa ndio maana anaweka misimamo.

Sababu ya nne inawekua ni kinyume cha sababu ya tatau. Pengine ni mgeni kwenye ulimwengu wa mapenzi na ni binti mwenye msimamo hivyo anataka atakaemuonja basi awe na uhakika ni mume wake tu.

Yote ya yote inawezekana Mkuu, akili kumkichwa!!
 
sababu zako zote za msingi sio watu wana bwabwaja pumba tu humu kutetea ambavyo hawakuweza kuvifanya!!
 
hahahaaa...sasa unatetea vitu usivyoweza kuvifanya mkuu?!!

Usinicheke kaka, Kuna sababu kwa kila jambo!!
..mfano; wewe umekutana na mdada mwenye msimamo huo, either ukubaliane naye, umshawishi mfanye mapenzi kabla ya ndoa au umpotezee utafute mwingine. Yeye kaamua kuishi hivyo, utafanyaje? Kama unampenda kwa dhati regardless basi kubaliana na msimamo aliojiwekea, kama vipi tafuta aliye tayari kushiriki ngono, si wapo bana..tena wengi tu..
 
Umejibu vema kasoro hapo kwenye bold....ukifanya hivyo huoni kwamba utakuwa un-force indirectly? Kwa hiyo huo ndo ushauri wako kwa mtoa mada?
 
@khatwe 'em kumbuka siku nlokutana na wewe..ulivyonipa msimamo wako nilikuwa na options tatu; either nikubaliane na wewe(kuwa marafiki/wapenzi bila ngono), nijaribu kukushawishi labda ungekubali au kutafuta mwingine mwenye mtizamo kama wangu...

..nilichoamua ni kukuacha na msimamo wako(ili nisikuharibu) na kutafuta mwingine, japo nilikupenda!!
 
Hadi nikakueleza msimamo wangu kimapenzi ina maana nlikuwa nimekupenda....kitendo cha wewe kusepa ulinidhulumu kwa nini usingenivumilia kama kweli ulinipenda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom