Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

kuna vitu vingine vya kushauri hili lako jepesi ebu maliza mwenyewe huko huko.,
miss chaga nilikumiss sijakuona humu muda shemeji yangu.

kama hauna mchango si unapita tu mkuu sio tena kuanza kutumiana salamu...utaharibu mtiririko wa mawazo na busara za wakuu wengine!!
 
Tutajuaje kama huna lengo la kumchezea. Wanaume hamtabiriki ni vizuri huyo Dada abaki na msimamo wake.

atabaki hivyo hadi lini? na hawezi kumpata mwanaume wa kumvumilia hadi ndoa...na wewe ndio wale wale!!
 
Hii zinaa itawamaliza wadogo zangu!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

sio issue ya zinaa mkuu...huyo mchumba nataka kuoa tatizo anaweza kuwa majanga ukiingia kichwa kichwa!!
 
Huyu jamaa hamfai huyo binti na hata akimuoa atakuwa mzee wa kona maana watu wanaochukulia ngono kirahisi rahisi hawatabiriki.

mimi si kama unavyonifikiria mkuu tatizo hawa wadada wa siku hizi hawaaminiki!!
 
Standards gani hizo?dunia ya leo uoe bila kujaribu ni sawa na kutest kina cha bahari kwa mguu

hahahaaa...sawa sawa mkuu naona wewe tupo pamoja..wanajitetea sana cuz wanajua sana walivyojiharibu huko kunako so wanataka kutubambikizia!!
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu. Asanteni!

Mi sikuona maajabu yoyote isipokuwa wewe ndiye wa ajabu. Kwanza kumfananisha msichana(mwanamke) na kiatu ni kosa,wewe huwezi kumununua mtu. Kuoa ni moja kati ya maagizo ya Kimungu kwa mwanadam,ukitaka ulale naye kabla ya ndoa huo ni uzinzi tu unaotokana na msukumo wa tamaa mbaya ndani yako,vinginevyo nampongeza huyo binti kwa kulinda heshima yake,na ukimwacha ni uthibitisho tosha kwamba hukumpenda bali tamaa tu,Mungu atampa mwingine atakaye thamini utu wake!
 
hahahaaa...sawa sawa mkuu naona wewe tupo pamoja..wanajitetea sana cuz wanajua sana walivyojiharibu huko kunako so wanataka kutubambikizia!!

Usikubali kuoa bila kutest mkuu...unanunua gari hata injini huji ina uwezo gani?...wizi mtupu,achana nae.
 
Mi sikuona maajabu yoyote isipokuwa wewe ndiye wa ajabu. Kwanza kumfananisha msichana(mwanamke) na kiatu ni kosa,wewe huwezi kumununua mtu. Kuoa ni moja kati ya maagizo ya Kimungu kwa mwanadam,ukitaka ulale naye kabla ya ndoa huo ni uzinzi tu unaotokana na msukumo wa tamaa mbaya ndani yako,vinginevyo nampongeza huyo binti kwa kulinda heshima yake,na ukimwacha ni uthibitisho tosha kwamba hukumpenda bali tamaa tu,Mungu atampa mwingine atakaye thamini utu wake!

kumfananisha na kiatu ni mfano tu nilikuwa ninatoa ila sikuwa na lengo la kutaka kumdhalilisha...ila wanawake wa siku hizi ni lazima wakaguliwe kabla ya kuolewa...full stop!!
 
Kwani ngono Ndo kipimo cha kumpenda mtu?! Yan jus bcoz kakataa kusex until wedding ndo umwache?!
Mhhhh makubwaa haya.....

sasa kama alikwisha jiharibu huko kunako sirini mimi nitajuaje? au unataka nibambikiwe mkuu?!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom