miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
acha uzinzi wewe
Subiri Kuuziwa mbuzi kwenye gunia............ amka hii ni "2014 na nusu"
Kwan naww upo hivyo?
kumbuka kuwa sina lengo la kumchezea mkuu sawa..haya ni mambo ya kawaida sanaa!!
Haya bwana kwanini usivumilie tu mpaka uoe kama kuchapa chepuka one time yeye mfanye wife material kama ukibahatika kumuoa na ulioyategemea yamo na hayamo na umeshajifunga poa ushukuru mungu kwa kila jambo manmkuu huyu mwanamke nina malengo nae tena ya muda mrefu sanaa tatizo lake ni hapo hataki mkemia mkuu nithibitishe kiwango chake!
dah!! Mkuu kwahiyo we ni mshika pembe?? Loh!
hakuna cha ajabu kafanya maamuzi sahihi na yenye busara
Maajabu au ndo inavotakiwa?
Haya bwana kwanini usivumilie tu mpaka uoe kama kuchapa chepuka one time yeye mfanye wife material kama ukibahatika kumuoa na ulioyategemea yamo na hayamo na umeshajifunga poa ushukuru mungu kwa kila jambo man
kumbuka kuwa sina lengo la kumchezea mkuu sawa..haya ni mambo ya kawaida sanaa!!
Kama unampenda Mungu kweli usifanye nae chochote mpaka ndoa, kwani ndivyo vitabu vitakatifu vinavyo tuelekeza ila tumekuwa walafi sana.huyo ndo atakuwa mke halisi kaka.
wewe ndio unaona ni kawaida,lakini yeye hataki sasa,kuliko kumuaribia malengo yake ni bora ukatafute size yako atakayekubali unachotaka
kheeee... hayo maswali kamuulize yeye.. Hakuna mtu anayetunza rekodi ya waliompitia zaidi yakendio inavyotakiwa imeandikwa katiba gani? na mpaka sasa kawapa wangapi na mimi mchumba ake anibanie?