Ma-super star wa jf...!!

.

Dada umenionaee,
hongera kaka zako wamesema uko maternity leave,
kila la kheri.

Nimepita hapa.
 
Dena, naona unataka kunibania kwa feis buku.. jidai kama hujui kitu kabisa..mtoto kafika, nataka nimwonyeshe malavidavi ya kila aina!

Napita tuu hapa jirani sijaona haya maandishi
 
Maandishi yenyewe ya kichina sijaelewa kitu
Hapo najikumbushia enzi zangu za kupiga saundi! mtaani walikuwa wananikoma...mdomo ulikuwa mwepesii, utu uzima huu na mujukumu umenifanya domo zege!
 

Asante Mkuu Mr.Rocky,
udumu milele Mkuu.
 
Hapo najikumbushia enzi zangu za kupiga saundi! mtaani walikuwa wananikoma...mdomo ulikuwa mwepesii, utu uzima huu na mujukumu umenifanya domo zege!

Kweli utu uzima dawa kaka
Enzi hizo ulikuwa unamwaga sound mpaka unajiuliza haya maneno yanatoka wapi
Kila mahali ilikuwa ni moto mbaya
Ila utu uzima na majukumu yanakaba vibaya na mwishoni unajiuliza hivi naenda kutafuta nini huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…