Celebrity number one is Faiza Foxy
(chanzo Faiza Foxy mwenywe)
Sante Dena, mimi pia nimewashtukia asee!Wewe na Asprin nahisi jana mlikesha mnakunywa Balimi maana mna maneno makali makali
Sante Dena, mimi pia nimewashtukia asee!
Dah Mr Rock nimekukubali...hujanyimwa lunch kweli wewe? manake leo hung'atuki hapa
mi wangu ni ww tu!!naendelea32. Rejao33. Feis buku34. Lily flower35. Klorokwini36. Uporoto0137. Igwe39. Bak40. First lady41. First lady142. Lizzy43. Katavi44. Mtm45. Js46. Bht47. Dark city48.dreamliner49. Kaka kiiza50. Askofu51. Smile52. Kaunga53. Bishanga54. Inkoskaz55. Rose198056. Gaga57. ..........................dah nitamalizia siku nyingine
mi wangu ni ww tu!!
tena kama unakaka ako nivutie nataka ukue wifi angu nikue na kaadvantage kwako!lkn asikue wa humu ndani!!sante mwaya
Asante Rejao,mzima ww?basi ngoja nikufupishie,mi lov u too cantalisia..
halafu jina lako gumu...hata kulitamka nimeshindwa!
Me too,nakukubalisana Mamndenyi!Nakukubali sana wewe mtoto wa Mkuu Mtambuzi.
Wewe na Asprin nahisi jana mlikesha mnakunywa Balimi maana mna maneno makali makali
Umeona eehhh maana unasoma mara mbili mbili unahisi kuwa sio yeye aliyeandika
Umeona eehhh maana unasoma mara mbili mbili unahisi kuwa sio yeye aliyeandika
Mkuu kibarua nimeona kama kitaota nyasi nilikimbia sana aise
Na wewe naona wanakupaisha tuu
Nalog off...naona mnashirikiana na sweetlady kutufunga mdomo. Nalog off
Asante Rejao,mzima ww?basi ngoja nikufupishie,
Niite CANTA! inatosha lol!
MI TOO REJAO!!!
tena kama unakaka ako nivutie nataka ukue wifi angu nikue na kaadvantage kwako!lkn asikue wa humu ndani!!
Nalog off...naona mnashirikiana na sweetlady kutufunga mdomo. Nalog off
Kaka nakusalimia tu! Mi staki shari ujue...
niko mbele yako kaizer!!