Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Huko hatatoka kabisa
kwa style hiyo kila siku nguo zarudishwa kwenye maji
Lol, chumbani pia udi haukosekani, maji ya kuoga yanatiwa iliki na vitunguu swaumu, akimaliza kuoga anapakwa mafuta ya karafuu, khaa Mr. Rocky tukicheza tutampoteza kijana asee, ujue toka jana analishwa wali wa nazi tuu!

Asipotokea leo mpelekee ngua bana!
 
Baada yangu asikae Rejao maana nina wasi wasi anaweza chakachua kila kitu
Asante dear
lol...kumbe unapenda kukaa mkiani?? basi ngoja nijisogeze mbali kabisaaa...lakini naondoka na dena! wewe ngoja nikuache hapo mkiani!
 
Nafurahi kama uko poa. Dena nna hakika hajakuacha, amekusahau kwa bahati mbaya, wiki end nilibanwa kidogo mpendwa... Nilikuwa natembelea ndugu, jamaa na marafiki..
Naona kanikumbuka...kaniweka on top kabisasaa!!! tukiondoa tu hizo number mi naonekana choice yake ya kwanza!!
Thanx dena!
 
Katika hiyo list yaani wewe, fellow tablet na sweetlady hamuwezi kukosekana. Usikastuie ka Dena Amsi maana kataanza kutamba kuwemo kwenye lsiti ya orijino Babu.

We Mzee hebu futa hiyo kauli hapo kwenye red kabla sijaripoti abuse....................
 
Mie mwenyewe nishamripoti coz amefanya name calling wakati sheria za jf zinakataza. Asubirie tu ban yake.

Leo lazima alambe BAN ya nguvu huyu mzee maana na serengeti za baridi jana zimempeleka vibaya sana bado zipo kichwani
 
Leo lazima alambe BAN ya nguvu huyu mzee maana na serengeti za baridi jana zimempeleka vibaya sana bado zipo kichwani
hee...PAW siku hizi hana huruma, anatoa ban za maisha! Akila ban mbona wajukuu watalia sana? kwa manufaa ya wengi naona nimuombee msamaha kwa PAW!
 
Katika hiyo list yaani wewe, fellow tablet na sweetlady hamuwezi kukosekana. Usikastuie ka Dena Amsi maana kataanza kutamba kuwemo kwenye lsiti ya orijino Babu.
Dena amsi nae ana mambo ya kizamani kweli....usimweke kwenye list mpaka akome...lol
 
Poa poa SL
Mzima wewe
Umepotea sana
Nimekumiss (kimya kimya maana TF hajaamka )

Mie good mpendwa... Nafurahi kukuona hapa..

TF hawezi amka sahizi manake alipokuwepo jana mimi ndo napajua..

Afadhali nijiachie hapa
Maana jamaa king'ang'anizi mbaya yule

Umeonae. Leo amelala kwa binti wa kitanga nguo zimelowekwa kwenye maji...hana ubavu wa kuja hapa.

Huko hatatoka kabisa
kwa style hiyo kila siku nguo zarudishwa kwenye maji

Lol, chumbani pia udi haukosekani, maji ya kuoga yanatiwa iliki na vitunguu swaumu, akimaliza kuoga anapakwa mafuta ya karafuu, khaa Mr. Rocky tukicheza tutampoteza kijana asee, ujue toka jana analishwa wali wa nazi tuu!

Asipotokea leo mpelekee ngua bana!
Dah............
 
Dena amsi nae ana mambo ya kizamani kweli....usimweke kwenye list mpaka akome...lol

Siamini kama haya maneno yanatoka kwako aisee........nilkuwa sijui kama hunipendi kiasi hiki (Sio siri roho imeniuma kiukweli kweli)
 
hee...PAW siku hizi hana huruma, anatoa ban za maisha! Akila ban mbona wajukuu watalia sana? kwa manufaa ya wengi naona nimuombee msamaha kwa PAW!

Mhsio PAW peke yake manake naona huyu bwana
INNOVATOR anaperuzi hapa, asije akakutwanga ban
 
uvumilivu kweli unatakiwa kwa kila jambo...ningekuwa mvumilivu hata siku ile tusingefika kuleee!
Hahaha! Umeonae? Ila kule pamenifanya nijifunze mambo mengi sana, nzuri zaidi nilijiapiza siku nikitoka lazima Rejao awe my best friend wa jf manake bila yeye pia nisingeweza kujifunza hayo niliyo yajifunza...

Akitokea mtu kutuchonganisha mwambie ashindwe na alegee kabisa... Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe, yaan hakunaga!
 
Back
Top Bottom