bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Hivi uislam huwa unachafuliwa na nani??Wallahi tunafurahi sana kwa kuwa In shaa Allah na binti nae ataiona nuru na kuwa Muislam.
Itasaidia pia image ya Uislam inavyochafuliwa bila sababu.
Shida yenu mumeshindwa kujitenga na wajingawajinga wanaojifanya wanapigana jihad..! Mbona ukristo unahusishwa na Freemasons hasa ukatoliki ila sisi kwa kutambua kuwa ni conspiracy za kijinga huwa tunawapuuza mpk sasa wamekosa mashiko.
Sent using Jamii Forums mobile app